Nchi ilivyo sasa hivi ukiropokaropoka wanaanza kukufanyia surveillance kuanzia mtandaoni mpaka unapoishi utaona unaanza kufuatiliwa na watu wa ajabu ajabu tu kumbe wanataka kukuteka wakakuuehuyu atakuwa amechoka ugali....
Dawa ya ushenzi unaoendelea kwenye hii nchi ni kuwepo kwa idadi kubwa ya waliochoka ugali. Anayependa sana kuishi hawezi kupigana na kushinda vita!huyu atakuwa amechoka ugali....
Kwa matumiz yako ya " since" kwenye paragraph yako moja hiyo kama wew sio mwalimu basi umeanza English course muda si mrefuSasa kama unatoa taarifa ili upatiwe ulinzi, since majibu yanaweza kuwa YES au NO, kwa kuzingatia uwepo wa watoa ulinzi si ndio kibali chenyewe hicho au mnataka iwe nini? Na kama hivyo ni sahihi kuwa mnatoa taarifa ili kupatiwa ulinzi, ni akili gani inyowatuma kudhani kuwa siku kama ya uchaguzi ambapo sehemu kubwa ya vyombo vya ulinzi na usalama vitatumika kwenye zoezi hilo na nyie kufanya maandamo ambaya pia yatahitaji ulinzi. Nyie ni wafanya vurugu na ni haki yenu kupewa kinachowastahili.
Nini wanachostahili? Kifo?Sasa kama unatoa taarifa ili upatiwe ulinzi, since majibu yanaweza kuwa YES au NO, kwa kuzingatia uwepo wa watoa ulinzi si ndio kibali chenyewe hicho au mnataka iwe nini? Na kama hivyo ni sahihi kuwa mnatoa taarifa ili kupatiwa ulinzi, ni akili gani inyowatuma kudhani kuwa siku kama ya uchaguzi ambapo sehemu kubwa ya vyombo vya ulinzi na usalama vitatumika kwenye zoezi hilo na nyie kufanya maandamo ambaya pia yatahitaji ulinzi. Nyie ni wafanya vurugu na ni haki yenu kupewa kinachowastahili.
Wewe una tatizo la kuelewa kiswahili ama?Sasa kama unatoa taarifa ili upatiwe ulinzi, since majibu yanaweza kuwa YES au NO, kwa kuzingatia uwepo wa watoa ulinzi si ndio kibali chenyewe hicho au mnataka iwe nini? Na kama hivyo ni sahihi kuwa mnatoa taarifa ili kupatiwa ulinzi, ni akili gani inyowatuma kudhani kuwa siku kama ya uchaguzi ambapo sehemu kubwa ya vyombo vya ulinzi na usalama vitatumika kwenye zoezi hilo na nyie kufanya maandamo ambaya pia yatahitaji ulinzi. Nyie ni wafanya vurugu na ni haki yenu kupewa kinachowastahili.
Sasa kama unatoa taarifa ili upatiwe ulinzi, since majibu yanaweza kuwa YES au NO, kwa kuzingatia uwepo wa watoa ulinzi si ndio kibali chenyewe hicho au mnataka iwe nini? Na kama hivyo ni sahihi kuwa mnatoa taarifa ili kupatiwa ulinzi, ni akili gani inyowatuma kudhani kuwa siku kama ya uchaguzi ambapo sehemu kubwa ya vyombo vya ulinzi na usalama vitatumika kwenye zoezi hilo na nyie kufanya maandamo ambaya pia yatahitaji ulinzi. Nyie ni wafanya vurugu na ni haki yenu kupewa kinachowastahili.
Ni nani mwenye uwezo wa kujua iwapo kuna hatari au hakuna? Je iwapo polisi wakiwaambia kuna hatari, Sheria inasemaje. Wataandamana au hawataandamana?waandamanaji wanaweza kuandamana bila ulinzi, kama wakiona hakuna hatari yoyote
Sawa, mimi sijui kiswahili ila nawe kwanini mzito kuelewa? Ukipeleka taarifa ili upate ulinzi huoni kama ni subjective ya kupewa au kutopewa? Je usipopewa kwasababu za kutokuwepo hao walinzi kwa muda huo na iwapo kuna hatari ya kiusalama, sheria inasemaje. Maandamo yaendelee au yapangiwe tarehe/muda mwingine?Wewe una tatizo la kuelewa kiswahili ama?
Amefafanua kazi ya polisi ni kulinda raia na mali zao. Unapopeleka notice polisi kuwa utaandamana ni sababu ya kuweka awareness tu kwamba kuna zoezi litafanyika eneo flani hivyo polisi wakiwaona wasishangae maana notice tayari wanayo.
Hio one-way communication kama broadcast tu kinachotarajiwa toka kwao ni kutekeleza majukumu kwa kupanga ulinzi kwenye hio shughuli. Hayo maswala ya kukubali au kukataa ni sababu ya mfumo kandamizi wa mboga mboga PP.
Kwamba umeona hilo tu? Majibu ni ndiyo. Niko kwenye English course kwa Ras Simba siku ya 6 leo, naamini siku moja nitajua tu.Kwa matumiz yako ya " since" kwenye paragraph yako moja hiyo kama wew sio mwalimu basi umeanza English course muda si mrefu
Wasipokupa ulinzi hilo haliwi tatizo lako tena wala sio kigezo cha wewe kushindwa kutekeleza majukumu yako ya kikatiba.Sawa, mimi sijui kiswahili ila nawe kwanini mzito kuelewa? Ukipeleka taarifa ili upate ulinzi huoni kama ni subject ya kupewa au kutopewa? Je usipopewa kwasababu za kutokuwepo hao walinzi kwa muda huo na iwapo kuna hatari ya kiusalama, sheria inasemaje. Maandamo yaendelee au yapangiwe tarehe/muda mwingine?
Kwanza tuombe radhi wazee wa jogging maana sote sio walevi. Tukirejea kwenye mada, naomba kuelimishwa zaidi, je sheria ya kutoa taarifa kwa ajili ya kupewa ulinzi pia inawahusu wafanya jogging?Wale walevi wanaofanya jogging za kila weekend huwa wanaomba kibali kw
So ni akili gani inayowatuma kufikiri wanaweza kuzuia maandamano nchi nzima siku hiyo lakini wakashindwa kutoa ulinziSasa kama unatoa taarifa ili upatiwe ulinzi, since majibu yanaweza kuwa YES au NO, kwa kuzingatia uwepo wa watoa ulinzi si ndio kibali chenyewe hicho au mnataka iwe nini? Na kama hivyo ni sahihi kuwa mnatoa taarifa ili kupatiwa ulinzi, ni akili gani inyowatuma kudhani kuwa siku kama ya uchaguzi ambapo sehemu kubwa ya vyombo vya ulinzi na usalama vitatumika kwenye zoezi hilo na nyie kufanya maandamo ambaya pia yatahitaji ulinzi. Nyie ni wafanya vurugu na ni haki yenu kupewa kinachowastahili.
Kumradhi mkuu, sheria inamhusu yeyote anayetumia resource za serikali. Iwe ardhi, anga au bahari kufanya mass use of the resource.Kwanza tuombe radhi wazee wa jogging maana sote sio walevi. Tukirejea kwenye mada, naomba kuelimishwa zaidi, je sheria ya kutoa taarifa kwa ajili ya kupewa ulinzi pia inawahusu wafanya jogging?
Kwasababu kubomoa ni rahisi kuliko kujenga.So ni akili gani inayowatuma kufikiri wanaweza kuzuia maandamano nchi nzima siku hiyo lakini wakashindwa kutoa ulinzi
Nafikiria kutoa ulinzi kungetumia police wachache zaidi kuliko kuzuia
Asante sana, naomba majibu y sehemu ya pili ya swali langu.Kumradhi mkuu, sheria inamhusu yeyote anayetumia resource za serikali. Iwe ardhi, anga au bahari kufanya mass use of the resource.
Mkishakuwa kikundi cha watu tu lazma sheria iwahusu.