Hawa ni wanafiki ndani yao kuna uzanzibari na uzanzibqriWakili Fatma Karume amesema CHADEMA haiwezi kuzuia UCHAGUZI.
Huku akienda mbali kwa kusema atashiriki uchaguzi mkuu kwa kutumia haki yake ya kikatiba kupiga kura
Vile vile ameonya kuwa ni kosa la jinai kuzuia uchaguzi
View attachment 3396698
View attachment 3396699
Akijibu maswali mbalimbali katika mtandao wa X
View attachment 3396700
View attachment 3396701
View attachment 3396702
View attachment 3396703
View attachment 3396704
Kuitawala nchi nyingine na kupora mali za nchi hiyo kumewanogea sana hawa watu.Wazanzibari wote wameungana ktk kumuunga mkono mzanzibari mwenzao ambaye anafanya kazi kubwa ya kusomba (siyo kubeba) rasilimali za Tanganyika na kuzipeleka Zanzibar.
Wazanzibari wananufaika vybakutosha ndiyo maana huwasikii wakiimba wimbo wa "koti la muungano kubana"
Nimequote kauli ya mdada flani nilisikia akiyatamka maneno hayo😁😁😸😸Kwann unavaa kanga Mkuu 😂
Wangetumia njia gani bora kama unaona bado walipaswa kuingia kwenye uchaguzi ambao watu wanaweza kuenguliwa kwa pridence ya mtu 1 ?Ana hoja asikilizwe, nampenda Lissu na Heche ila kwenye#NRNE# walibugi wanapaswa kua sauti ya watu wao kwa kupeleka wawakilishi bungeni nchi pekee Afrika Mashariki wenye uwezo wa kuimpliment #NRNE# ni Kenya tu sio taifa hili ambalo 80% ya vijana ni wapenda umbea wanapoteza nguvu zao.
Kuna wakati shangazi anachanganya mafaili.. Sijui huwa anakuwa ameonja kidogo?Wakili Fatma Karume amesema CHADEMA haiwezi kuzuia UCHAGUZI.
Huku akienda mbali kwa kusema atashiriki uchaguzi mkuu kwa kutumia haki yake ya kikatiba kupiga kura
Vile vile ameonya kuwa ni kosa la jinai kuzuia uchaguzi
View attachment 3396698
View attachment 3396699
Akijibu maswali mbalimbali katika mtandao wa X
View attachment 3396700
View attachment 3396701
View attachment 3396702
View attachment 3396703
View attachment 3396704
Namaanisha ni mawazo, mtazamo, na Imani yake
Huyu dada ni mnafiki sana alimsema sana magu haya SSH kaufyata kimya yupo kwenye kamati ya praiseWakili Fatma Karume amesema CHADEMA haiwezi kuzuia UCHAGUZI.
Huku akienda mbali kwa kusema atashiriki uchaguzi mkuu kwa kutumia haki yake ya kikatiba kupiga kura
Vile vile ameonya kuwa ni kosa la jinai kuzuia uchaguzi
View attachment 3396698
View attachment 3396699
Akijibu maswali mbalimbali katika mtandao wa X
View attachment 3396700
View attachment 3396701
View attachment 3396702
View attachment 3396703
View attachment 3396704
Kuna mbweha wakisikia huu ukweli mchungu wanalia!! Sikuwahi fikiri Lissu anaweza kukosa akili kiasi hiki!!Wakili Fatma Karume amesema CHADEMA haiwezi kuzuia UCHAGUZI.
Huku akienda mbali kwa kusema atashiriki uchaguzi mkuu kwa kutumia haki yake ya kikatiba kupiga kura
Vile vile ameonya kuwa ni kosa la jinai kuzuia uchaguzi
View attachment 3396698
View attachment 3396699
Akijibu maswali mbalimbali katika mtandao wa X
View attachment 3396700
View attachment 3396701
View attachment 3396702
View attachment 3396703
View attachment 3396704
Mpina alikuwa anadai vitu vya maana n bc tuu ukigombana na system lazima mambo yakuharibikieNimequote kauli ya mdada flani nilisikia akiyatamka maneno hayo😁😁😸😸
Ila mkuu aliyesema kisesa wanamdai mama NI Mimi au Mpina ?mbona hiyo ujamaind
Lishangazi limebanwa na gejee hvyo halijielewii ,ndio wale waleChadema wa "negotiate"!
Yaani Chadema wa "negotiate"!
Au mimi ndio sijui maana ya neno "negotiate"!
Limshangazi linafeli wazee.
Hhahahahahaha umetumia neno kali sana LIMSHANGAZI
Hata mbwa awe mkali kiasi gani, akiwa na njaa akatupiwa mnofu hugeuka kuwa mdoli.Kuitawala nchi nyingine na kupora mali za nchi hiyo kumewanogea sana hawa watu.
Ni ajabu sana kwamba akina Mwamosa na masheikh hawayaoni haya; kwa sababu tu na wao wanatupiwa masalia!
BladfackenNdo Nani huyu Fatima Karume ?
Huyo mtu umemsikia akizungumzia kesi ya wazanzibar wenzake kuwazuia CHADEMA wasifanye shughuli za kisiasa?Basi haya
Hawa wamekwisha ona fursa ya kujineemesha kwa mgongo wa muungano; sasa kila mmoja anataka Samia na GENGE lake liendeleze manufaa hayo.Hata mbwa awe mkali kiasi gani, akiwa na njaa akatupiwa mnofu hugeuka kuwa mdoli.