Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Wanaharakati uchwara wa mitandaoni
Lakini si wanasema lazima upinzani uwepo bungeni? Je huo upinzani utapatikanaje kama ccm watachukua majimbo yote?All in all mi uchaguzi wa chama kimoja na CCM watanyakuwa majimbo yooye mpige kura msipige.
Hawana habari na idadi ya wapiga kura
Wasipo sikia la chadema nini kidanyike? Au chadema watachukua uamuzi gani?Fatma karume na wengine wote wanaodhani kwamba No Reforms No Election ni mechanism ya kuzuia uchaguzi Kwa maana ya kuhujumu Ili usifanyike wameshindwa kuelewa slogan inalenga nini.
Kwa kifupi No Reforms no election ni harakati ya kupinga uchaguzi batili unaosimamiwa na tume iliyoundwa na mwenyekiti wa CCM, Sheria mbovu za uchaguzi na upendeleo wa Chama kimoja Cha CCM.
Kupinga au kuweka shinikizo la mabadiliko (reforms) siyo kuzuia Bali ni kuziambia mamlaka kwamba huo siyo uchaguzi Bali ni uchafuzi Kwa maana tume haiwezi kutenda haki Kwa vyama vya upinzani, yenyewe ipo kuhakikisha CCM inashika dola hata Kwa Goli la mkono.
Ni kuziambia mamlaka na Dunia nzima kwamba sisi hatutakuwa sehemu ya huo udhalimu mpaka pale mabadiliko ya Sheria za uchaguzi yatapofanyika ndipo patakuwa na uchaguzi huru na wa haki na mshindi wa kweli atapatikana.
Ahsante
Yaani wazanzibar wa upinzani sasa hivi wako kimya utadhani walichokuwa wanakidai tayari wameshakipata. Kwangu mimi nadhani pia kuondoka kwa Seif kumepunguza upinzani kwa kiasi kikubwa kwa sababu mgogoro mkubwa ulikuwa umejikita kwenye kugombea nafasi ya urais! Huyu wa sasa na Zitto naona ni madalali wanaochumia tumbo zao na wako tayari kupewa umakamu wa rais ''boya'' na nafasi chache za ubunge na uwakilishi na wakaridhika.Wazanzibari wote wameungana ktk kumuunga mkono mzanzibari mwenzao ambaye anafanya kazi kubwa ya kusomba (siyo kubeba) rasilimali za Tanganyika na kuzipeleka Zanzibar.
Wazanzibari wananufaika vya kutosha ndiyo maana huwasikii wakiimba wimbo wa "koti la muungano kubana"
Kwa hiyo hata mimi ninayeona mama anastahili miaka mitano mingine na ninayeona Chadema kususia uchaguzi ni mwendelezo ule ule wa kufanya maamuzi ya kijinga yanayowasulubu wenyewe kuliko mtu mwingine yoyote ni mwislamu?ndo maana nasema muslims siku zote watashinda tanzagiza kwa maana Christian watamsulubu kwa nguvu zote bila ya huruma wakishirikiana na baadhi ya Christians halafu muslim wao watamtetea kwa nguvu zote come what may na hawawezi kukubali aangamie piga ua garagaza, mmeona sasa huyo si alikuwa team moja na sarungi nini kimewatenganisha mnafikiri? ni dini tu hakuna kingine …
Ni mpuuzi Tu ambae anaamini uchaguzi utafanyika.
"Uchaguzi huu mwaka hautafanyika."
NRNE !!!
Mimi naona tu watu wanaweweseka,Chadema imesema hawatashirki uchaguzi,sasa hao wengine wanawashwa nini!!si washiriki wao mbona maneno yamekuwa mengi .
Ahsante.Wasipo sikia la chadema nini kidanyike? Au chadema watachukua uamuzi gani?
Ni movement ya kuamsha awereness kwa jamii wafahamu kwamba katiba yetu juu ya uchaguzi mkuu inabakwa na kuwa favor chama tawala kilichopo madarakani. Na imeleta posslitive effect kwa wananchi kufahamu kwamba tume ya uchaguzi inafanya kazi kwa kumfavor yule alie wateua kuwa pale pamoja na chama chake tawala. Jambo ambalo sio la haki kabisa na wananchi wengi kwa sasa wametambua hilo na ndo mana unaonga wengi wanaunga mkono hoja ya CDM kutaka mabadiriko ya kikatiba juu katika maswala mazima ya Tume ya taifa ya uchaguzi na uchaguzi wenyewe.
Kuhusu kutofanya au kushiriki election chadema hawamzuii mtu kutoka chama chochote kushiriki bali wao kama chadema ndio ambao wameamua hawatoshiriki uchaguzi mkuu mpaka pale yatakapo fanyika mabadiriko ya chaguzi na uundwaji wa Tume ya uchaguzi.
Antennah.
Kwa watu wenye msimamo sio vigeu geu maana wanajishushia hadhi na heshima yaoLakini Kuna kauli inasema kuwa mitandao ina nguvu sana. Wewe unaichukuliaje kauli hii?