GE2025 Wakili Fatma Karume asema CHADEMA haiwezi kuzuia UCHAGUZI

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Labda wamekata tamaa na siasa?

Labda wanaona siasa ni kuwa saidia wachache waweze kuneemeka na wanao wazunguka?
Kama wana mitazamo iyo hawapaswi kulalamika ugumu wa maisha wanaopitia kwa sabab huu ugumu wa maisha unaletwa na hao hao wanasiasa
 
Ni movement ya kuamsha awereness kwa jamii wafahamu kwamba katiba yetu juu ya uchaguzi mkuu inabakwa na kuwa favor chama tawala kilichopo madarakani. Na imeleta posslitive effect kwa wananchi kufahamu kwamba tume ya uchaguzi inafanya kazi kwa kumfavor yule alie wateua kuwa pale pamoja na chama chake tawala. Jambo ambalo sio la haki kabisa na wananchi wengi kwa sasa wametambua hilo na ndo mana unaonga wengi wanaunga mkono hoja ya CDM kutaka mabadiriko ya kikatiba juu katika maswala mazima ya Tume ya taifa ya uchaguzi na uchaguzi wenyewe.

Kuhusu kutofanya au kushiriki election chadema hawamzuii mtu kutoka chama chochote kushiriki bali wao kama chadema ndio ambao wameamua hawatoshiriki uchaguzi mkuu mpaka pale yatakapo fanyika mabadiriko ya chaguzi na uundwaji wa Tume ya uchaguzi.

Antennah.
Unaweza kusaidia kile uchofahamu kuhusu hoja za chadema katika kuzuia uchaguzi?
 
Ata iyo katiba mpya ikipatikana zaidi inaenda kuwapa wazanzibar mamlaka kamili
Lakini si tunataka katiba mpya? Hivyo tuwe tayari kwa lolote. Au wewe una mawazo gani?
 
Kama wana mitazamo iyo hawapaswi kulalamika ugumu wa maisha wanaopitia kwa sabab huu ugumu wa maisha unaletwa na hao hao wanasiasa
Na ndio maana Wana sura za kukata tamaa na kuendelea kujitafutia kwa Kadri wawezavyo.
 
Lakini si tunataka katiba mpya? Hivyo tuwe tayari kwa lolote. Au wewe una mawazo gani?
Hahaha binafs nitamlaumu sana mama kama atatoka madarakani bila ya kutupitishia ile rasimu ya katiba ya Warioba yenye serekali 3
 
Ni movement ya kuamsha awereness kwa jamii wafahamu kwamba katiba yetu juu ya uchaguzi mkuu inabakwa na kuwa favor chama tawala kilichopo madarakani. Na imeleta posslitive effect kwa wananchi kufahamu kwamba tume ya uchaguzi inafanya kazi kwa kumfavor yule alie wateua kuwa pale pamoja na chama chake tawala. Jambo ambalo sio la haki kabisa na wananchi wengi kwa sasa wametambua hilo na ndo mana unaonga wengi wanaunga mkono hoja ya CDM kutaka mabadiriko ya kikatiba juu katika maswala mazima ya Tume ya taifa ya uchaguzi na uchaguzi wenyewe.

Kuhusu kutofanya au kushiriki election chadema hawamzuii mtu kutoka chama chochote kushiriki bali wao kama chadema ndio ambao wameamua hawatoshiriki uchaguzi mkuu mpaka pale yatakapo fanyika mabadiriko ya chaguzi na uundwaji wa Tume ya uchaguzi.

Antennah.
Chadema ni kweli wameamua kutoshiriki, ikumbukwe Wana kesi mahakamani kupinga kuzuiwa kushiriki uchaguzi mkuu. Hili una lizungumziaje?
 
Hahaha binafs nitamlaumu sana mama kama atatoka madarakani bila ya kutupitishia ile rasimu ya katiba ya Warioba yenye serekali 3
Sio kwamba kutakuwa na mchakato mpya?
 
Ana hoja asikilizwe, nampenda Lissu na Heche ila kwenye#NRNE# walibugi wanapaswa kua sauti ya watu wao kwa kupeleka wawakilishi bungeni nchi pekee Afrika Mashariki wenye uwezo wa kuimpliment #NRNE# ni Kenya tu sio taifa hili ambalo 80% ya vijana ni wapenda umbea wanapoteza nguvu zao.
Yukosahihi kabisa acheni kuforce kitu ambacho hamuwezi. Ukweli hamna ubavu wa kuzuia uchaguzi ila kama kawaida yenu hamtaki ukweli
 
😀😀 yaani Mwenye kiti wa chama kikuu cha upinzani anasota rumande kwa week kadhaa sas halaf kuan watu wanaamini chadema watazuia uchaguzi?
Ni kujidanganya kw kweli
 
Itakua ni kupoteza hela na mda tu ile rasimu ya warioba inaweza kufanyiwa marekebish kidogo tu na ikapitishwa
Je watanzania hasa wasomi na wanasiasa watakubali kutumia katiba ile ?
 
😀😀 yaani Mwenye kiti wa chama kikuu cha upinzani anasota rumande kwa week kadhaa sas halaf kuan watu wanaamini chadema watazuia uchaguzi?
Ni kujidanganya kw kweli
Sio kwamba ni kiashiria kuwa wanachadema ni watu wanao penda kutii sheria bila shuruti? Na kuheshimu mamlaka?
 
Chadema ni kweli wameamua kutoshiriki, ikumbukwe Wana kesi mahakamani kupinga kuzuiwa kushiriki uchaguzi mkuu. Hili una lizungumziaje?
Ndo mana kesi hiyo mahakamani imekua kama kichekesho na kila siku ushahidi haukamili wakati mtu aliyatamka maneno mbele ya hadhara na mbele waandishi wa habari na wananchi wote.

Sababu ni kwamba wanafahamu kabisa kwamba kauli ya lisu haikuweka bayana kama zuio hio ni kwa watanzania wote au wana cdm pekee, infacts ni kwa wanachama wa chadema pekee....!!!! Jiulize ni mwanachadema gani anaweza mzuia mwana ccm yeyote kutoshiriki uchaguzi!!?
Kila chama na wanachama wake wanaenda kwa kufata tartibu na maagizo ya chama chao.

Antennah
 
Back
Top Bottom