misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 17,894
- 14,783
Yupo sahihi maana ni mnufaika wa katiba na sheria mbovu tulizonazo na zinapigiwa kelele kubadilishwa kila siku.Wewe maoni yako ni yapi?
Yupo sahihi maana ni mnufaika wa katiba na sheria mbovu tulizonazo na zinapigiwa kelele kubadilishwa kila siku.Wewe maoni yako ni yapi?
Makamanda sasa ni muda wa kumporomoshea matusi ShangaziNdo Nani huyu Fatima Karume ?
OFcourseKwa hiyo Hawa wanao kuja na mawazo kinzani ni kuonesha hasira au chuki binafsi bila kuwa na hoja?
Kwani hii iliyopo wanaikubali ?Je watanzania hasa wasomi na wanasiasa watakubali kutumia katiba ile ?
Ushauri wa nini?Ushauri wako, nini kifanyike?
Watanganyika tumelala.Wazanzibari wote wameungana ktk kumuunga mkono mzanzibari mwenzao ambaye anafanya kazi kubwa ya kusomba (siyo kubeba) rasilimali za Tanganyika na kuzipeleka Zanzibar.
Wazanzibari wananufaika vya kutosha ndiyo maana huwasikii wakiimba wimbo wa "koti la muungano kubana"
Kabisa.. nimeona SGR zote zimejengwa ZanzibarWazanzibari wote wameungana ktk kumuunga mkono mzanzibari mwenzao ambaye anafanya kazi kubwa ya kusomba (siyo kubeba) rasilimali za Tanganyika na kuzipeleka Zanzibar.
Wazanzibari wananufaika vya kutosha ndiyo maana huwasikii wakiimba wimbo wa "koti la muungano kubana"
Lakini mpaka sasa sioni kama limefanyika hilo la kwenda mahakamani kuzuia uchaguzi.Maana ya kuzuia uchaguzi ni pana, unaweza zuia hata kwa njia ya mahakama. Ndio maana Mimi siwaaminigi kwa lolote viumbe wanawake...mtanisamehe jamani ni kama Nina aleji na viumbe Hawa🥴
Hakuna kitu kama iko narudia kusema watanganyika wengi ni wapumbavu na ni waoga wakupigania haki zaoSio kwamba ni kiashiria kuwa wanachadema ni watu wanao penda kutii sheria bila shuruti? Na kuheshimu mamlaka?
Nimemaanisha Rais akishaipitisha hakuna yoyote anaweza kupinga ile katiba isipiitishwe watakubali tu ata kishingo upande 😀Kwahiyo tuendelee nayo?
Heche anasema uchaguzi hautafanyika we unasema hawamaanishi watazuia uchaguzi kati yako na Heche nani yuko sahihi?Sidhani kama kampeni ya NRNE, chadema wanaanisha watazuia uchaguzi wa october usifanyike..???? Nadhan karume angewatafuta CDM wamueleweshe vizuri