Na ikawe hivyoLissu alishasema bhn watazuia uchaguz hata kwa kuingia barabaran
Sahihi kabisaNi kweli Chadema haina nguvu ya kuzuia uchaguzi kwa sasa Raia wa Tanganyika walio wengi ni wapumbavu wanaogopa kupambania haki zao
ccm itaendelea kutawala kwa mda mrefu
Unajua mwenyeweUnawezq kueleza nqmna gani waweze kuingilia kati?
Labda wamekata tamaa na siasa?Ni kweli Chadema haina nguvu ya kuzuia uchaguzi kwa sasa Raia wa Tanganyika walio wengi ni wapumbavu wanaogopa kupambania haki zao
ccm itaendelea kutawala kwa mda mrefu
Machawa hao(Mithali 25:3-6)Kuitawala nchi nyingine na kupora mali za nchi hiyo kumewanogea sana hawa watu.
Ni ajabu sana kwamba akina Mwamosa na masheikh hawayaoni haya; kwa sababu tu na wao wanatupiwa masalia!
Naungana naye ana hoja nzitoUna ungana na wakili Fatma ?
Mkuu maaskofu wengi walimpinga sana MagufuliKama kanisa katoliki linavyomsema sana Samia ila enzi za Maguful lilikaa kimya na kumualika madhabahuni
Hao wanatumika mkuu. Hakuna muda utakua sahihi kwa CCM kubadilisha mifumo watapiga danadana kila wakati. Rejea rasimu ya warioba katika kutunga katiba mpya JK alishindwa kuipitisha awamu yake alie mfuata ndio kabisa akasema haipo kwenye ajenda zake so hawa watu hakuna muda sahihi zaidi ya sasa. Yeyote anaye taka tusifamye reforms huyo ni mtu wa kumkwepa na kumkataa wazi wazi.
Kufanya lini..?Lakini awamu hii wanaenda kufnya mabadiliko katika katiba ambacho ni kilio cha muda mrefu
Wakili Fatma yupo sahih kbs ila hao wanaopingana anae wanajitoa ufahamu tuNa hili ndio wakili Fatma anaonekana kupingana nalo na kusema kuwa ni jinai, je wewe unaonaje?