Lakin watanzania unao Sema ni wqoga ndio hao hao walipigana na mkoloni miaka nenda rudi mpaka uhuru ukapatikana. Haikuwa rahisi lakini iliwezekanaHakuna kitu kama iko narudia kusema watanganyika wengi ni wapumbavu na ni waoga wakupigania haki zao
wanasubir mtu ajitoe muhanga kuwapigania wakat huo huo hao waliojitoa muhanga kuwapigania wakirambishwa asali wanawaita wasaliti na kuwatukana kbsa 😀
Uhuru wa Tanganyika ulipatikana kwa njia ya makaratasi hakuna mtanganyika alidai uhuru kwa mtutu wa bundukiLakin watanzania unao Sema ni wqoga ndio hao hao walipigana na mkoloni miaka nenda rudi mpaka uhuru ukapatikana. Haikuwa rahisi lakini iliwezekana
kama bado mlitaka asidandiwe na kitengo ili atoe ufyuzi wake unukeNahisi bado, vipi kuna kitu unataka kueleza katika hilo?
Pengine wameenda kimya kimya, walisema wanahitaji majina na Saini za wananchi milioni 15 ili wapate nguvu ya kwenda mahakama kuuzuiaLakini mpaka sasa sioni kama limefanyika hilo la kwenda mahakamani kuzuia uchaguzi.
Kitima yeye alimsema hadharaniUongo , walimkumbatia tena kila jumapili alipewa nafasi ya kuongea kanisani
Tatizo huko kuzuia kila mtu ana tafsiri yake.Wakili Fatma Karume amesema CHADEMA haiwezi kuzuia UCHAGUZI.
Huku akienda mbali kwa kusema atashiriki uchaguzi mkuu kwa kutumia haki yake ya kikatiba kupiga kura
Vile vile ameonya kuwa ni kosa la jinai kuzuia uchaguzi
View attachment 3396698
View attachment 3396699
Akijibu maswali mbalimbali katika mtandao wa X
View attachment 3396700
View attachment 3396701
View attachment 3396702
View attachment 3396703
View attachment 3396704
Hivi alisharudishiwa leseni yake ya uwakiliWakili Fatma Karume amesema CHADEMA haiwezi kuzuia UCHAGUZI.
Huku akienda mbali kwa kusema atashiriki uchaguzi mkuu kwa kutumia haki yake ya kikatiba kupiga kura
Vile vile ameonya kuwa ni kosa la jinai kuzuia uchaguzi
Waendelee kufocus na kutia mkazo katika movement yao, hata kama sio leo wala kesho, there will come a time when everything will be fine in this country because of that movement.Una washauri nini?
Wote tupo sahihi, ila wew unaelewa mambo juu juu na kwa zigzag sanaHeche anasema uchaguzi hautafanyika we unasema hawamaanishi watazuia uchaguzi kati yako na Heche nani yuko sahihi?
View attachment 3397156
ila kiuahalisia kati yaka na yake mpuuzi tushamjua acha tukae kimyaNi mpuuzi Tu ambae anaamini uchaguzi utafanyika.
"Uchaguzi huu mwaka hautafanyika."
NRNE !!!
Kati yako ya Heche anaesema uchaguzi hautafanyika nani anaelewa zaidi?Wote tupo sahihi, ila wew unaelewa mambo juu juu na kwa zigzag sana
All in all mi uchaguzi wa chama kimoja na CCM watanyakuwa majimbo yooye mpige kura msipige.Tuwe na subra kwa kuwa kama uchaguzi ukifanyika basi tume watatoa takwimu za waliojiandikisha na walioshiriki kupiga kura.
Baada ya hapo tunaweza kutoa maoni kulingana na takwimu hizo
Maji maji war, isike kule tabora, mirambo, abushiri, mangi wote pale kilimanjaro, mkwawa nkUhuru wa Tanganyika ulipatikana kwa njia ya makaratasi hakuna mtanganyika alidai uhuru kwa mtutu wa bunduki