GE2025 Wakili Fatma Karume asema CHADEMA haiwezi kuzuia UCHAGUZI

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hawa ni wanafiki ndani yao kuna uzanzibari na uzanzibqri
 
Kuitawala nchi nyingine na kupora mali za nchi hiyo kumewanogea sana hawa watu.

Ni ajabu sana kwamba akina Mwamosa na masheikh hawayaoni haya; kwa sababu tu na wao wanatupiwa masalia!
 
Wangetumia njia gani bora kama unaona bado walipaswa kuingia kwenye uchaguzi ambao watu wanaweza kuenguliwa kwa pridence ya mtu 1 ?
 
Kuna wakati shangazi anachanganya mafaili.. Sijui huwa anakuwa ameonja kidogo?
 
Namaanisha ni mawazo, mtazamo, na Imani yake

yeah wote husema hivyo lkn raisi kama angekuwa Christian sasa hivi angekuwa up in arms kumsulubu mpaka mwisho no election na akina sarungi, you can take that to the bank …
 
Huyu dada ni mnafiki sana alimsema sana magu haya SSH kaufyata kimya yupo kwenye kamati ya praise
 
Kuna mbweha wakisikia huu ukweli mchungu wanalia!! Sikuwahi fikiri Lissu anaweza kukosa akili kiasi hiki!!
 
Nimequote kauli ya mdada flani nilisikia akiyatamka maneno hayo😁😁😸😸


Ila mkuu aliyesema kisesa wanamdai mama NI Mimi au Mpina ?mbona hiyo ujamaind
Mpina alikuwa anadai vitu vya maana n bc tuu ukigombana na system lazima mambo yakuharibikie
 
Chadema wa "negotiate"!
Yaani Chadema wa "negotiate"!
Au mimi ndio sijui maana ya neno "negotiate"!

Limshangazi linafeli wazee.
Lishangazi limebanwa na gejee hvyo halijielewii ,ndio wale wale
 
Hhahahahahaha umetumia neno kali sana LIMSHANGAZI

Huwezi kusema chama kikuu cha upinzani ki "negotiate" yaani "kijadiliane"

Unajadiliana (negotiate) na mtu anaekuua, anakuteka, anakufunga ili akunyonge!

Lishangazi limechemka.
 
Kuitawala nchi nyingine na kupora mali za nchi hiyo kumewanogea sana hawa watu.

Ni ajabu sana kwamba akina Mwamosa na masheikh hawayaoni haya; kwa sababu tu na wao wanatupiwa masalia!
Hata mbwa awe mkali kiasi gani, akiwa na njaa akatupiwa mnofu hugeuka kuwa mdoli.
 
Yaani ujadiliane (negotiate) na system inayowaua, kuwatesa, kuwafunga jela!

Kweli hilo jimama, limechemka.
 
Hata mbwa awe mkali kiasi gani, akiwa na njaa akatupiwa mnofu hugeuka kuwa mdoli.
Hawa wamekwisha ona fursa ya kujineemesha kwa mgongo wa muungano; sasa kila mmoja anataka Samia na GENGE lake liendeleze manufaa hayo.

Lakini ni ujinga, maana ni wazi hawajui kula na kiofu!
 
Hao sio watanganyika!! Ni walowezi km wanyasa tu ndani y Tanganyika.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…