Wakili: Feisal Anastahili Adhabu na Sio kurudishwa Yanga

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
Fatma Karume ambaye ni Mshauri wa Kisheria wa Mwanasoka Feisal Salum ‘Feytoto’ anadai kutopendezwa na maamuzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu TFF kwenye Shauri ya mteja wake na kulitaka Shirikisho hilo kumpa adhabu Mchezaji kama ambavyo Sheria za FIFA zinaelekeza.

 
Akipewa adhabu si ndo anakuwa free after.
 
Kuna shida gani Faisal kurudi Yanga? Akifungiwa miaka 2 itakuwaje? Kipaji bado kitakuwepo? Mbona kama sielewi
 
Sasa hivi hatumtaki kwa sababu bila shaka hawezi kucheza kwa kujituma, ila tunamfundisha adabu na kuheshimu mikataba ili huko aendako asije fanya ujinga tena.
 
Sasa akifungiwa miaka mitatu, itakuaje? Mbn kama mshauri ni mburula
 
Simba mbumbumbu fc waliamini kumvuruga Fei ni kuua moto wa Yanga kumbe Kuna Mzinze analijua goli Bado kupiga penati tu maana penati zake akipiga Mpira unaenda juuuuuuu na kutua Jambiani na Mchambawima!!

Kuna Aziz Ki anafunga, Mayele anafunga, Musonda anafunga, Job anafunga, Mwamnyeto anafunga, hata Diarra anafunga penati!!

Hatumtaki kabisa Feitoto mchukueni Makolo mbumbumbu fc nyie!

Bado mechi 5 tu kombe letu la NBC hiloooo jangwani!
Azam federation kombe letu tuko robo fainali!
Makundi CAF federation nafasi ya pili!

Makolo wote wanaumwa Kwa hasira za mafanikio yetu Utopolo
 
Simba hawahusiki na sakata la Feisal, bosi wenu alimtaka kimapenzi ndiyo akachukia kwani dogo siyo Kabwili,haya mambo hatukutaka kuyasema kwa vile mnaanza kutusingizia inabidi tuyamwage. Mchezaji bora kama yule mnataka kumharibu kwa tamaa zenu za kisodoma.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kolo limevurugwa
 
Ni kweli hii ishu ya kutakiwa kuliwa kinyeo Fei
 
Kuna shida gani Faisal kurudi Yanga? Akifungiwa miaka 2 itakuwaje? Kipaji bado kitakuwepo? Mbona kama sielewi
Sheria imeelekeza muda wa kufungiwa. Fei na shangazi yake wanajua kabisa ni muda mchache sana anarudi uwanjani ndio maana hawakatai kuwa Fei kavunja mkataba, wanachotaka adhabu itolewe waitumikie chap maisha yaendelee
 
Yanga wakimwambia alipe B1 tu ataweza? Au haoni kama hata saizi ni mtoro kazini Yanga wanaweza kutaka fidia........then ataanza kulia lia tena,then Fatuma nayeye naona ameingizwa mkenge
 
Sheria imeelekeza muda wa kufungiwa. Fei na shangazi yake wanajua kabisa ni muda mchache sana anarudi uwanjani ndio maana hawakatai kuwa Fei kavunja mkataba, wanachotaka adhabu itolewe waitumikie chap maisha yaendelee
Adhabu hiyo ataiweza? Yanga wakitaka fidia ataweza kuilipa? Maana ni mtoro
 
Ni kweli hii ishu ya kutakiwa kuliwa kinyeo Fei
Ni kweli ndiyo maana mama yake kasema mambo mengine ni siri kubwa, dogo siyo mshiriki wa huo upuuzi ndiyo maana kajiapiza kwa Allah kuwa kamwe hawezi kurudi Yanga. Hakutaka kuliweka wazi kwani ni jambo la wazi fedheha kubwa sana ila kwa vile Utopolo wanaisingizia Simba kuwa ndiyo waliomrubuni imebidi tupasue hili buyu

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…