Simba mbumbumbu fc waliamini kumvuruga Fei ni kuua moto wa Yanga kumbe Kuna Mzinze analijua goli Bado kupiga penati tu maana penati zake akipiga Mpira unaenda juuuuuuu na kutua Jambiani na Mchambawima!!
Kuna Aziz Ki anafunga, Mayele anafunga, Musonda anafunga, Job anafunga, Mwamnyeto anafunga, hata Diarra anafunga penati!!
Hatumtaki kabisa Feitoto mchukueni Makolo mbumbumbu fc nyie!
Bado mechi 5 tu kombe letu la NBC hiloooo jangwani!
Azam federation kombe letu tuko robo fainali!
Makundi CAF federation nafasi ya pili!
Makolo wote wanaumwa Kwa hasira za mafanikio yetu Utopolo