Wakili: Feisal Anastahili Adhabu na Sio kurudishwa Yanga

Wakili: Feisal Anastahili Adhabu na Sio kurudishwa Yanga

Ni kweli ndiyo maana mama yake kasema mambo mengine ni siri kubwa, dogo siyo mshiriki wa huo upuuzi ndiyo maana kajiapiza kwa Allah kuwa kamwe hawezi kurudi Yanga. Hakutaka kuliweka wazi kwani ni jambo la wazi fedheha kubwa sana ila kwa vile Utopolo wanaisingizia Simba kuwa ndiyo waliomrubuni imebidi tupasue hili buyu

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Inasikitisha sana
 
Simba hawahusiki na sakata la Feisal, bosi wenu alimtaka kimapenzi ndiyo akachukia kwani dogo siyo Kabwili,haya mambo hatukutaka kuyasema kwa vile mnaanza kutusingizia inabidi tuyamwage. Mchezaji bora kama yule mnataka kumharibu kwa tamaa zenu za kisodoma.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Duh!!! Sasa akimjamii atafungaje magoli jamani? Huu uchu mbaya sana
 
Ni kweli ndiyo maana mama yake kasema mambo mengine ni siri kubwa, dogo siyo mshiriki wa huo upuuzi ndiyo maana kajiapiza kwa Allah kuwa kamwe hawezi kurudi Yanga. Hakutaka kuliweka wazi kwani ni jambo la wazi fedheha kubwa sana ila kwa vile Utopolo wanaisingizia Simba kuwa ndiyo waliomrubuni imebidi tupasue hili buyu

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Mbona mazito
 
Simba mbumbumbu fc waliamini kumvuruga Fei ni kuua moto wa Yanga kumbe Kuna Mzinze analijua goli Bado kupiga penati tu maana penati zake akipiga Mpira unaenda juuuuuuu na kutua Jambiani na Mchambawima!!

Kuna Aziz Ki anafunga, Mayele anafunga, Musonda anafunga, Job anafunga, Mwamnyeto anafunga, hata Diarra anafunga penati!!

Hatumtaki kabisa Feitoto mchukueni Makolo mbumbumbu fc nyie!

Bado mechi 5 tu kombe letu la NBC hiloooo jangwani!
Azam federation kombe letu tuko robo fainali!
Makundi CAF federation nafasi ya pili!

Makolo wote wanaumwa Kwa hasira za mafanikio yetu Utopolo
Mnamuwaza mnyama sana, saa hizi yuko zake mawindoni huko utopoloni hakukaliki.
 
The issue was weather Faisal is Young African player or not.(legal method and procedure mwaka wa kwanza kabisa)

Na TFF wamesema kuwa Faisal ni mchezaji halali wa Young African.

Hayo ya adhabu hayakua maombi ya Yanga.
 
Simu unknown itapigwa na hili litaisha ...hawezi kukubali Mzanzibari mwenzie apate shida ilihali TFF ipo kwenye makanyagio yake
 
Hili bwana mzee ni fundisho kwa wanasoka wote, pamoja na mapungufu yao kwa hili TFF nawapa 5. Itasaidia sana vilabu kutoyumbishwa na hawa umbwa wenye tamaa.
Sikuzote kitu kizuri ndo hua kinabebwa
 
Sheria imeelekeza muda wa kufungiwa. Fei na shangazi yake wanajua kabisa ni muda mchache sana anarudi uwanjani ndio maana hawakatai kuwa Fei kavunja mkataba, wanachotaka adhabu itolewe waitumikie chap maisha yaendelee

Na Yanga hawana mpango wa kumuadhibu wanataka ajiadhibu mwenyewe km atakwenda CAS au awaite mezani shughuli imeisha…..
Lengo sio kumkomoa ni kulinda image ya clabu na kutoa mfano kwa wachezaji wengine wawe wanaheshimu mikataba yao…

Hata juzi tumeona Marcelo kavunja mkataba Olympiacos F.C ya Ugiriki kwa makubaliano ya pande zote mbili…… na si kwa kujiamulia mwenyewe
 
Simu unknown itapigwa na hili litaisha ...hawezi kukubali Mzanzibari mwenzie apate shida ilihali TFF ipo kwenye makanyagio yake

Na FIFA ndio watafanya yao baada ya iyo cm kupigwa
 
Simu unknown itapigwa na hili litaisha ...hawezi kukubali Mzanzibari mwenzie apate shida ilihali TFF ipo kwenye makanyagio yake
Huo uwezo hana akitaka aichukie Nchi ajaribu ndio atajua nguvu ya Yanga iko wapi!!
 
Back
Top Bottom