Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Fatma Karume ambaye ni Mshauri wa Kisheria wa Mwanasoka Feisal Salum ‘Feytoto’ anadai kutopendezwa na maamuzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu TFF kwenye Shauri ya mteja wake na kulitaka Shirikisho hilo kumpa adhabu Mchezaji kama ambavyo Sheria za FIFA zinaelekeza.