CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Inasikitisha sanaNi kweli ndiyo maana mama yake kasema mambo mengine ni siri kubwa, dogo siyo mshiriki wa huo upuuzi ndiyo maana kajiapiza kwa Allah kuwa kamwe hawezi kurudi Yanga. Hakutaka kuliweka wazi kwani ni jambo la wazi fedheha kubwa sana ila kwa vile Utopolo wanaisingizia Simba kuwa ndiyo waliomrubuni imebidi tupasue hili buyu
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Duh!!! Sasa akimjamii atafungaje magoli jamani? Huu uchu mbaya sanaSimba hawahusiki na sakata la Feisal, bosi wenu alimtaka kimapenzi ndiyo akachukia kwani dogo siyo Kabwili,haya mambo hatukutaka kuyasema kwa vile mnaanza kutusingizia inabidi tuyamwage. Mchezaji bora kama yule mnataka kumharibu kwa tamaa zenu za kisodoma.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Mbona mazitoNi kweli ndiyo maana mama yake kasema mambo mengine ni siri kubwa, dogo siyo mshiriki wa huo upuuzi ndiyo maana kajiapiza kwa Allah kuwa kamwe hawezi kurudi Yanga. Hakutaka kuliweka wazi kwani ni jambo la wazi fedheha kubwa sana ila kwa vile Utopolo wanaisingizia Simba kuwa ndiyo waliomrubuni imebidi tupasue hili buyu
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Inasikitisha sana,yaani soka letu limefika huko? Huyo kiongozi ashughulikiwe na wanachamaMbona mazito
Mnamuwaza mnyama sana, saa hizi yuko zake mawindoni huko utopoloni hakukaliki.Simba mbumbumbu fc waliamini kumvuruga Fei ni kuua moto wa Yanga kumbe Kuna Mzinze analijua goli Bado kupiga penati tu maana penati zake akipiga Mpira unaenda juuuuuuu na kutua Jambiani na Mchambawima!!
Kuna Aziz Ki anafunga, Mayele anafunga, Musonda anafunga, Job anafunga, Mwamnyeto anafunga, hata Diarra anafunga penati!!
Hatumtaki kabisa Feitoto mchukueni Makolo mbumbumbu fc nyie!
Bado mechi 5 tu kombe letu la NBC hiloooo jangwani!
Azam federation kombe letu tuko robo fainali!
Makundi CAF federation nafasi ya pili!
Makolo wote wanaumwa Kwa hasira za mafanikio yetu Utopolo
Laana ya viongozi kutaka kuwalawiti wachezaji haitawaacha salama.Mnamuwaza mnyama sana, saa hizi yuko zake mawindoni huko utopoloni hakukaliki.
Amewaingiza chaka makolo wanaharisha damu baada ya hukumu 😂Bi Fatma naona naye pumzi imekata...
Hili bwana mzee ni fundisho kwa wanasoka wote, pamoja na mapungufu yao kwa hili TFF nawapa 5. Itasaidia sana vilabu kutoyumbishwa na hawa umbwa wenye tamaa.TFF wanawabeba utopolo kwa njia zote.
Sikuzote kitu kizuri ndo hua kinabebwaHili bwana mzee ni fundisho kwa wanasoka wote, pamoja na mapungufu yao kwa hili TFF nawapa 5. Itasaidia sana vilabu kutoyumbishwa na hawa umbwa wenye tamaa.
Sheria imeelekeza muda wa kufungiwa. Fei na shangazi yake wanajua kabisa ni muda mchache sana anarudi uwanjani ndio maana hawakatai kuwa Fei kavunja mkataba, wanachotaka adhabu itolewe waitumikie chap maisha yaendelee
Simu unknown itapigwa na hili litaisha ...hawezi kukubali Mzanzibari mwenzie apate shida ilihali TFF ipo kwenye makanyagio yake
Huo uwezo hana akitaka aichukie Nchi ajaribu ndio atajua nguvu ya Yanga iko wapi!!Simu unknown itapigwa na hili litaisha ...hawezi kukubali Mzanzibari mwenzie apate shida ilihali TFF ipo kwenye makanyagio yake