GE2025 Wakili Gaston Shundo: Polisi wamesema Heche hayupo DAR amesafirishwa kupelekwa Tarime

GE2025 Wakili Gaston Shundo: Polisi wamesema Heche hayupo DAR amesafirishwa kupelekwa Tarime

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Naona sasa polisi wameamua kuharakisha anguko la CCM kuliko hata tulivyotarajia. Kukamata, kuteka na kupoteza viongozi wa Chadema wengi sana kwa wiki mbili hizi ni mpango mkakati wa kuiangusha CCM. Na pia kuwateka mapdri wa Kanisa Katoliki na kisha kutoa taarifa za kulibagaza na kulidhalilisha Kanisa Katoliki pia ni mbinu ya kuharakisha anguko kuu la CCM, nimekaa palee
Ndyo mkazie hapo hapo sasa msije kosa cha kusingizia!

Mara mje mrudi hapa
 
Madagaska huko wamekiwasha kisa tuu ukosefu wa maji, Bongo watu wanatekwa na kuuawa ila nyumbu tumetulia tuu
Huwa silipendi kabisa hili jina NYUMBU, haswa pale linapotumika kuwananga wanachadema na wapinzani wa hii serikali yetu dhalimu.

Lakini ukijaribu kutulia na kuangalia kwa makini tabia za nyumbu pale mmoja wao anaposhambuliwa na simba huko porini....huwa inabidi niwe mpole maana hatutofautiani kabisa.
 
Hakuna namna 😂
 
Developing story ni kwamba kamanda John Heche yupo kwenye mikono salama na amesafirishwa kwenda Tarime kuhojiwa kuhusiana na Makosa aliyoyafanya huko.
 
Back
Top Bottom