DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Mkurugenzi wa sheria na haki za binadamu Chadema wakili Gaston Shundo amesema kuwa kwa mujibu wa taarifa walizopewa na jeshi la polisi kupitia kwa DZCO George Bagyemu kuwa, makamu Mwenyekiti wa chama hicho ambaye alikamatwa leo asubuhi Mahakama kuu masjala ndogo ya Dar es Salaam John Heche tayari amesafirishwa kuelekea mkoani Tarime, kutokana na sababu za kukamatwa kwake kuwa huko.
Wakili huyo amesema wao kama Chadema wanajipanga kuagiza mawakili kutoka Mkoa wa Mara na Mwanza kwenda kutoa msaada wa kisheria.
Pia Soma: John Heche akamatwa akiwa Mahakama Kuu akijiandaa kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu