Watanzania na Wakenya waungana mpaka wa Sirari kuhakikisha John Heche anaelekea Kenya kutoa pole kufutia kifo cha Raila Odinga

Watanzania na Wakenya waungana mpaka wa Sirari kuhakikisha John Heche anaelekea Kenya kutoa pole kufutia kifo cha Raila Odinga

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Hakika hii ndio dawa yao!

Uonevu umezidi sana yani kweli kabisa mnamzuie mtu kwenda hadi kwenda kwenye msiba! This Is toomuch! Watanzania tumekuwa kama watumwa

===============

Watanzania na Wakenya waungana mpaka wa Sirari kuhakikisha John Heche anaelekea Kenya kutoa pole kufutia kifo cha Raila Odinga.

Updates
Serikali ya Tanzania imefunga lango la kuingia na kutoka katika mpaka wa Sirari.

wananchi wanapiga kelele "Tunamtaka John Heche".

Bora watusaidie

View attachment 3490426
View attachment 3490427
Updates
Serikali ya Tanzania imefunga lango la kuingia na kutoka katika mpaka wa Sirari.

wananchi wanapiga kelele "Tunamtaka John Heche".

View attachment 3490429
 
Kumruhusu ingekuwa kirahisi tu kuliko attention waliyotengeneza kwenye media za Kenya kwa sasa na mwisho huo mkusanyiko ndio unaweza kuleta madhara ambayo hawakutegemea hao watu wanazidi kuongezeka wakifanya mobilization wakachoma na kuvunja hicho kigeti watamlaumu nani?

Hii mijitu hakika division IV ilikuwa ni halali yao hata ingesoma elimu ya sekondari miaka 20.
 
Back
Top Bottom