imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,235
- 98,463
Nimesema mfano wako ni wakijinga sikusema wewe ni mjinga naomba radhi kama limekutweza.Ahsante kwa kuniita mjinga...
Tufanye kitu kipi ili uchaguzi uwe huru na wa haki?
Tufanye nini ili vingozi wachache waache kuifisadi nchi?
Tuendeleze pressure za maandamano yasiokwisha maandamano ya AMANI ili wananchi watuunge mkono sio tunaitisha maandamano ya AMANI watu wachache tu ndio wanatoka siku hawa watu wkitokq kwa maelfu na maelfu watawala watakubali matakwa yetu.