Hivi hii serikali si unaielewa, hapo angepenya njia za chocho, angerudi akakutana na kesi ya kuingia nchi nyingine pasipo kibali cha serikali.Heche angeenda kimya kimya tu hata isingejulikana. Sasa dunia nzima inahabarishwa kuwa kuna watu wanaonewa na kunyanyaswa kwa kuzuiwa kwenda msibani.
Hata ambao hawakutaka kuandamana sasa wanapewa hamasa na mshikamano kwa matendo hayo ya kihuni
Washauri wa mama wengi IQ zao ni ndogo sana ndiyo maana vituko haviishi huko ccmHeche angeenda kimya kimya tu hata isingejulikana. Sasa dunia nzima inahabarishwa kuwa kuna watu wanaonewa na kunyanyaswa kwa kuzuiwa kwenda msibani.
Hata ambao hawakutaka kuandamana sasa wanapewa hamasa na mshikamano kwa matendo hayo ya kihuni
Amejaza washauri wabovu wanaomshauri aendelee kufanya mambo ya hovyoSamia anavhokitafuta atakipata. Usiku wa leo unaweza kuamua hatma ya Utawala wake.
Oktoba 29 ni kilele; lakini tayari shughuli zimeanza taratibu, kama hivyo wanavyo lazimisha iwe..Sasa hii ndo motive nzuri ya kuanza kukinukisha sio mpaka 29 Oct.
Yeye ya kwake (IQ) unaiona vipi?Washauri wa mama wengi IQ zao ni ndogo sana ndiyo maana vituko haviishi huko ccm
Kadri wanavyojaribu kutumia nguvu kubwa kufanya mambo mabaya dhidi ya raia, ndivyo ambavyo wana hamsha mioyo ya watu kukiwashaOktoba 29 ni kilele; lakini tayari shughuli zimeanza taratibu, kama hivyo wanavyo lazimisha iwe..
Hili ni jambo jema kwa sababu mori wa waTanzania unazidi kupanda siku hadi siku.
Huko "kuharibu" kunalingana na waTanzania kutekwa na kuuliwa?Kupiga moto watakuwa wanaharibu waongeze pressure mpaka aachiwa aende Bondo.
Kama watekaji wanajulikana basi na wao watekwe sio kwenda kuchoma ofisi za umma ambazo kodi yetu nduo imejenga.Huko "kuharibu" kunalingana na waTanzania kutekwa na kuuliwa?
Hakuna anayependa hayo mambo; lakini inabidi kutumia akili sasa kujuwa ni nani hasa anaye sababisha yote haya.
Inashangaza kuja sasa hivi na kutoa visababu hata kwenye maswala yaliyo wazi kabisa ni nani anaye haribu!
Na kashavushwa na wananchiNgoja ashuhudie , alidanganywa huyo kwamba polisi wana uwezo kuzuia raia...
Hapo kitakachofanyika ni Heche kupatiwa passport yake, la sivyo kutawaka moto...
Na anaweza kupatiwa passport wakakomaa aende Kenya kwenye msiba..
Kimya kimya how? Si lzm upite border?Heche angeenda kimya kimya tu hata isingejulikana. Sasa dunia nzima inahabarishwa kuwa kuna watu wanaonewa na kunyanyaswa kwa kuzuiwa kwenda msibani.
Hata ambao hawakutaka kuandamana sasa wanapewa hamasa na mshikamano kwa matendo hayo ya kihuni
Kodi zenu si ndio zinazowalipa hao wauaji na watekaji; mbona akili yako imelala sana zaidi hata ya ile ya mwanzo kabisa uliyoingia nayo humu JF?Kama watekaji wanajulikana basi na wao watekwe sio kwenda kuchoma ofisi za umma ambazo kodi yetu nduo imejenga.
Kuchoma ofisi za umma wakati unajua akina mafwele wako wapi haiingiii akiliniKodi zenu si ndio zinazowalipa hao wauaji na watekaji; mbona akili yako imelala sana zaidi hata ya ile ya mwanzo kabisa uliyoingia nayo humu JF?
Akina Mafwele hawana lolote la maana; hao hata kesho tu wanaweza kuondoka na wakaingia wengine wabaya zaidi yao..Kuchoma ofisi za umma wakati unajua akina mafwele wako wapi haiingiii akilini