Its Tesha
Senior Member
- Oct 6, 2025
- 168
- 608
Wananchi wa Tarime wamemchukua Makamu Mwenyekiti CHADEMA John Heche na sasa wanaondoka naye baada ya kuwepo watu ambao walitaka kumkamata baada ya kuzuiwa kusafiri kwenda Kenya kwenye Msiba wa Raila Odinga (BABA) akiwa Sirari One-Stop Border Post (OSBP). Hii sasa ndiyo nguvu ya umma watu wa Tarime wameonesha. People's Power.
Pia Soma:
Pia Soma:
- Watanzania na Wakenya waungana mpaka wa Sirari kuhakikisha John Heche anaelekea Kenya kutoa pole kufutia kifo cha Raila Odinga
- John Heche amekamatwa na kuzuiliwa mpaka wa Sirari akiwa anaelekea Kenya kwenye mazishi ya Odinga