Wananchi wa Tarime wamchukua Makamu Mwenyekiti John Heche kwa usalama zaidi

Wananchi wa Tarime wamchukua Makamu Mwenyekiti John Heche kwa usalama zaidi

Ha
Wananchi wa Tarime wamemchukua Makamu Mwenyekiti CHADEMA John Heche na sasa wanaondoka naye baada ya kuwepo watu ambao walitaka kumkamata baada ya kuzuiwa kusafiri kwenda Kenya kwenye Msiba wa Raila Odinga (BABA) akiwa Sirari One-Stop Border Post (OSBP). Hii sasa ndiyo nguvu ya umma watu wa Tarime wameonesha. People's Power.

Pia Soma:
sijui tumefikaje hapa sijui, nipo na machungu sana na taifa hili , machozi yananitoka moyoni ,hii sio sawa hata kidogo
 
..sasa hivi yuko upande wa HAKI.

..mbele ya safari akiamua kusaliti na kujiunga na wauwaji wa Ccm atapatikana mtu mwingine.

..Ccm ni wauwaji na wachumia tumbo muda wote.
Jwani sasa hivi yupo upande gani mkuu...... Unaamini heche ni clean kiasi hicho???

Unaifahamu kazi inayomuingizia kipato??

CHADEMA ni Project na hivyo ndivyo kwa LISSU, LEMA NA HECHE. subiri siku ya maandamano
 
..sisi tunaangalia hoja hatuangalii sura ya mtu, au jina la chama.

..mnatakiwa mshughulikie hoja sio mtu.

..angalia ameondoka Maalim Seif sasa hivi yuko Othman Masoud.

..Hoja iko palepale. Sasa ya nini kupoteza fedha, na kuuwa watu?

..Ni rahisi na faida kwa kila mmoja wetu ikiwa hoja zitafanyiwa kazi.
 
Awali John Heche alizuiliwa katika mpaka wa Sirari asiingie nchini Kenya kushiriki mazishi ya aliyekua mwanaharakati nchini Kenya maarufu kwa jina la Odinga.

Wanachi waliokua wamejitokeza kwa wingi walizingira kituo cha polisi na kufanikiwa kumtorosha Tundu Lissu kutoka katika mikono ya polisi

More news to follow:
Wewe umelewa nini, Bangi?

"Mwanaharakati nchini Kenya"?

Na Tundu Lissu kafikafikaje huko kichwani kwako?
 
..sisi tunaangalia hoja hatuangalii sura ya mtu, au jina la chama.

..mnatakiwa mshughulikie hoja sio mtu.

..angalia ameondoka Maalim Seif sasa hivi yuko Othman Masoud.

..Hoja iko palepale. Sasa ya nini kupoteza fedha, na kuuwa watu?

..Ni rahisi na faida kwa kila mmoja wetu ikiwa hoja zitafanyiwa kazi.
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom