Wananchi wa Tarime wamchukua Makamu Mwenyekiti John Heche kwa usalama zaidi

Wananchi wa Tarime wamchukua Makamu Mwenyekiti John Heche kwa usalama zaidi

Sawa mkuu

..mnamwaga damu za watu wasio na hatia, na kuchoma pesa, kwa mambo ambayo yangeweza kuamuliwa kwa haki na busara.

..hivi mabadiliko wanayodai Chadema ni mabaya kiasi cha kulazimisha serikali na Ccm wateke, watese, na kuuwa wanaharakati?

..Vijana waliotekwa na kuuwawa walikuwa na uwezo wa kuzuia ushindi wa Samia na Ccm?

..Kwanini uteke na kuuwa watu kwasababu ya uchaguzi ambao uwezekano wa kushinda kihalali upo?
 
You deserve human respect. Hawa watu wamedhibirisha kuwa kweli ni wanadamu, na siyo ile mizoga ambayo mwenzao anachukuliwa na wahuni watekaji mbele ya macho yao, wanaangalia tu, na kisha kwenda kuandika mitandaoni jinsi alivyochukuliwa. Watanzania tukiamka, hakuna mtanzania atatekwa na yale majambazi.
NNgoja nijaribu hivii:
Kuanzia sasa na kuelekea Oktoba 29; kutekwa kizembe kwa mTanzania yoyote hiyo ni dhambi ya mauti kwa watekaji.
Wakati huu ni sahihi kabisa kukataa kila namna ya manyanyaso yanayofanywa na hawa washenzi.
In fact, kumteka yeyote wakati huu ni kama kumwaga petroli kwenye majivu yaliyokuwa yanaelekea kuzimika.

Ni sababu tosha kabisa ya kuharakisha kufikia hiyo Oktoba 29.
 
Inabidi sasa watanzania wachukue hatima yao katika mikono yao wenyewe kama hawa ndugu zetu wa Tarime walivyoamua katika umoja wao kuonesha nguvu ya umma.

Watu wa Ubungo, Magomeni, Kariakoo walichukua hatima ya mateso ya Usafiri wa Umma mabasi ya mwendo kasi DART mikononi mwao jijini Dar es Salaam na ghafla mabasi ya DART yakamwagwa kwa wingi.

Watanzania kokote mlipo muige kwa vitendo kulinda haki zenu zote

Toka Maktaba :
04 October 2025
Wananchi wa Tarime mkoa wa Mara

View: https://m.youtube.com/watch?v=TmdTQd4HjDk
 
..mnamwaga damu za watu wasio na hatia, na kuchoma pesa, kwa mambo ambayo yangeweza kuamuliwa kwa haki na busara.

..kwa mfano, mabadiliko wanayodai Chadema ni mabaya kiasi cha kulazimisha serikali na Ccm wateke, watese, na kuuwa wanaharakati?

..Vijana waliotekwa na kuuwawa walikuwa na uwezo wa kuzuia ushindi wa Samia na Ccm? Kwanini uteke na kuuwa watu kwasababu ya uchaguzi ambao uwezekano wa kushinda kihalali upo?
Utekaji unazo sababu zake.

Waliamini sana katika kuwatisha na kuwatia uoga waTanzania.

Watu wenye hofu/ uoga hawajishughulishi na kutafuta na kulinda HAKI zao; wanasubiri tu kuamrishwa kulinda AMANI ili waliopo madarakani waendelee na mipango yao bila kuhojiwa.

Hiyo ndiyo maana ya AMANI wanayouziwa waTanzania.
 
Wananchi wa Tarime wamemchukua Makamu Mwenyekiti CHADEMA John Heche na sasa wanaondoka naye baada ya kuwepo watu ambao walitaka kumkamata baada ya kuzuiwa kusafiri kwenda Kenya kwenye Msiba wa Raila Odinga (BABA) akiwa Sirari One-Stop Border Post (OSBP). Hii sasa ndiyo nguvu ya umma watu wa Tarime wameonesha. People's Power.

Pia Soma:
Sijui huyu jambazi wa Kizimkazi anataka kitokee nini kwenye hii nchi. It’s just a matter of time—atavuna anachopanda!
 
Wananchi wa Tarime wamemchukua Makamu Mwenyekiti CHADEMA John Heche na sasa wanaondoka naye baada ya kuwepo watu ambao walitaka kumkamata baada ya kuzuiwa kusafiri kwenda Kenya kwenye Msiba wa Raila Odinga (BABA) akiwa Sirari One-Stop Border Post (OSBP). Hii sasa ndiyo nguvu ya umma watu wa Tarime wameonesha. People's Power.

Pia Soma:
Nimejivunia kuwa sehemu ya watu hawa!!

Hata hivyo huyu polisi wa Tanzania anabhati amekimbia na amelala nje ya Sirari na Tarime .

Hilo gari tungelipiga moto

Tarime hatuna uchaguzi na Maandamano tarehe 29.10.2025 yataanzia kwetu .

OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURA
OLE WAKE MWALIMU ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
OLE WAKE MGAMBO ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI MWAKA HUU
 
Awali John Heche alizuiliwa katika mpaka wa Sirari asiingie nchini Kenya kushiriki mazishi ya aliyekua mwanaharakati nchini Kenya maarufu kwa jina la Odinga.

Wanachi waliokua wamejitokeza kwa wingi walizingira kituo cha polisi na kufanikiwa kumtorosha Tundu Lissu kutoka katika mikono ya polisi

More news to follow:
Duuh, inaonekana Tundu Lissu kakukaa kichwani kwelikweli😀😀

Hii imekaa vizuri sana kama umemweka moyoni mwako huyu Mwamba

Hata hivyo leo ni habari ya John Heche na Samia...
 
Awali John Heche alizuiliwa katika mpaka wa Sirari asiingie nchini Kenya kushiriki mazishi ya aliyekua mwanaharakati nchini Kenya maarufu kwa jina la Odinga.

Wanachi waliokua wamejitokeza kwa wingi walizingira kituo cha polisi na kufanikiwa kumtorosha Tundu Lissu kutoka katika mikono ya polisi

More news to follow:
Wamemtorosha Tundu lissu 🙄?
 
Nadhani lengo la polisi na vyombo vya ulinzi ni kuleta vurugu ili kusudi mama apigwe chini. Huwezi kumpenda mama halafu ukafanya hivi


Edit….
Halafu, si kuna mgombea urais alikuwa huko na alipokelewa kwa maelfu ya watu kihistoria? Sasa inakuwaje tena hayo maelfu yamekwenda kumuokoa Heche?
Siku zote uelewe kuwa Ile nyomi inayompokea mgombea sehemu A huwa inaletwa kutoka sehemu B na C
 
Back
Top Bottom