Wananchi wa Tarime wamchukua Makamu Mwenyekiti John Heche kwa usalama zaidi

Wananchi wa Tarime wamchukua Makamu Mwenyekiti John Heche kwa usalama zaidi

Proud to be born in Mara.


You deserve human respect. Hawa watu wamedhibirisha kuwa kweli ni wanadamu, na siyo ile mizoga ambayo mwenzao anachukuliwa na wahuni watekaji mbele ya macho yao, wanaangalia tu, na kisha kwenda kuandika mitandaoni jinsi alivyochukuliwa. Watanzania tukiamka, hakuna mtanzania atatekwa na yale majambazi.
 
This is a real stupid question that must be originating from crippled brain.
Kuna muda nyumbu mngejua mnavypelekwa mngejiona washenzi sanaaaa kushabikia wachumia tumbo..... Kuna Siku HECHE atawashangaza wengi
 
Wananchi wa Sirari wajitokeza kumsaidia John Heche. Ni baada ya kupata taarifa za Uhamiaji kutaka kumteka(Kumchukua bila kufuata utaratibu).

Uhamiaji wakumbuke pale Sirari ni Nyumbani kwao na Heche. Mjuni kapelekwa kikazi tu..
 
You deserve human respect. Hawa watu wamedhibirisha kuwa kweli ni wanadamu, na siyo ile mizoga ambayo mwenzao anachukuliwa na wahuni watekaji mbele ya macho yao, wanaangalia tu, na kisha kwenda kuandika mitandaoni jinsi alivyochukuliwa. Watanzania tukiamka, hakuna mtanzania atatekwa na yale majambazi.
Mkuu sio mimi aliyeandika kua yuko proud kuzaliwa Mara,

Mimi nimeirekebisha tu comment 17#
 
Back
Top Bottom