Wananchi wa Tarime wamchukua Makamu Mwenyekiti John Heche kwa usalama zaidi

Wananchi wa Tarime wamchukua Makamu Mwenyekiti John Heche kwa usalama zaidi

Nadhani lengo la polisi na vyombo vya ulinzi ni kuleta vurugu ili kusudi mama apigwe chini. Huwezi kumpenda mama halafu ukafanya hivi


Edit….
Halafu, si kuna mgombea urais alikuwa huko na alipokelewa kwa maelfu ya watu kihistoria? Sasa inakuwaje tena hayo maelfu yamekwenda kumuokoa Heche?
Mambo yalivyo upande wa pili wa shilingi nibtofauti na upande mwingine wa shilingi.

Siku zote rafiki yako, rafiki yake ni adui wako
 
Ina maana lile nyomi kwa mgombea wa urais huko Mara ndo limekwenda kumuokoa Heche?
Mkuu,
Zile nyomi ni bandia, na hupatikana hivi:-
1. Mabasi yaliyojaa makada wanaosafiri nao kila mahali
2. Walimu na wanafunzi wa shule zote za mkoa husika hupewa t-shirt za kijani na kuhudhuria kwa shuruti
3. Wafanyakazi wote wa serikali wa mkoa husika.
3. Wanaonunuliwa kwa 5k na 10k na kusombwa na malori kutoka maeneo ya mbali, mikoa mingine..
4. Wasanii na mashabiki wao, nk..

Ukiondoa hizo janja janja hakuna nyomi
 
Nadhani lengo la polisi na vyombo vya ulinzi ni kuleta vurugu ili kusudi mama apigwe chini. Huwezi kumpenda mama halafu ukafanya hivi


Edit….
Halafu, si kuna mgombea urais alikuwa huko na alipokelewa kwa maelfu ya watu kihistoria? Sasa inakuwaje tena hayo maelfu yamekwenda kumuokoa Heche?


Hao wameenda kwa mapenzi yao katika kukataa uonevu hakuna mtu aliyesombwa na lori au kupewa buku 7

Maaana huduma ya kusomba na maloro inaanza asubuhi na kuhitimishwa saa 12 jioni wanaporudishwa makwao kusubiri mgao wa pesa , ila hapo ni saa 1 usiku hakuna lori wala mgao wa pesa.

Aione kwenye jalada kidampa wa mama Lucas Mwashambwa.
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Na ccm ni nini?
Project yenye nguvu zaidi ya CDM kwa ufupi CDM ni project ya CCM (baba) Inayojaribu kumuua baba CCM ambae anakula chakula chote ili CDM (Mtoto) apate kula pia na ajira ya kudumu (dola) ukilijua hili utakaa utulie kwako/kwenu.

Watanzania bado sana kuhitaji mabadiliko na siku ikifika hii nguvu unayoiona wala haitokuwepo. Kwa sasa kinachoendelea ni ujinga wa kiuanaharakati tu.
 
18 October 2025
Sirari One Stop Border
Tanzania
Screenshot-2025-10-18-175857.png

Tanzanian opposition leader arrested while travelling to Raila Odinga’s burial​

By Kenneth Mwenda, October 18, 2025
Tanzanian authorities have arrested and detained CHADEMA Deputy Chairperson John Heche at the Isibania One-Stop Border Post while he was travelling to Kenya to attend the burial of former Prime Minister Raila Amolo Odinga.

In a statement released on Saturday, October 18, 2025, CHADEMA confirmed that Heche was stopped at around 2 p.m. by Tanzanian Immigration officials in Mara Region as he attempted to cross into Kenya. The party said Heche was on his way to represent detained opposition leader Tundu Lissu at the funeral in Bondo, Siaya County.


CHADEMA accused the government of President Samia Suluhu of political persecution, saying Heche’s arrest was unjustified. The party’s Director of Communications and Publicity, Brenda Rupia, said immigration officers confiscated Heche’s passport without giving any explanation.

“Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuitangazia umma kuwa Serikali ya Chama Cha Mapinduzi, imemuweka kiziumzi Makamu Mwenyekiti, Mheshimiwa John Wegesa Heche,” the statement read.

“Mhe. Heche amekamatwa Saa Nane, mchana huu wa Jumatatu, Oktoba 18, 2025 mkoani Mara kwenye mpaka wa Tanzania na Kenya huko Isibania One Stop Border alipokuwa anakata kuingia Kenya. Ikumbukwe kuwa jana, tulitoa taarifa tukitanguliza umma kuwa Mhe. Heche atakwenda nchini Kenya kukiwa kilisha Chama hudhuria mazishi ya Mwanasisasa nguli wa Kenya, Raila Amolo Odinga.”

X post by Chadema Tanzania. PHOTO/Screengrab by People Daily Digital
X post by Chadema Tanzania. PHOTO/Screengrab by People Daily Digital

Party demands Heche’s release​

The party condemned the move, describing it as an attempt to deny Tanzanians the right to show solidarity with Kenyans mourning the late opposition leader.

“Tuna taka Serikali ya Tanzania imuachie mara moja Mhe. Heche na iache kuwanyanyasa viongozi wa Chama chetu, kuwapora haki yao ya kutoka nje ya nchi na kuingia kama inavyoelewzwa kwenye ibara ya 17(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,” CHADEMA said.

It demanded Heche’s immediate release and called on the Tanzanian government to stop targeting opposition leaders and restricting their movement.

Raila Odinga’s burial is scheduled for Sunday, October 19, at his Opoda Farm in Bondo. His body was airlifted from Kisumu to Siaya on Saturday afternoon aboard a Kenya Defence Forces helicopter after thousands of mourners viewed it at Mamboleo Stadium.

The funeral will be a state ceremony, with President William Ruto expected to lead dignitaries, including foreign leaders and opposition figures, in paying final respects.

Raila, who died in India on Wednesday, was a long-time champion of democracy in Kenya and a key figure in the region’s politics. His death has drawn tributes from across Africa, with leaders describing him as a unifying figure who fought for justice, reform, and freedom.
Source : PeopleDaily Kenya newspaper
 
Awali John Heche alizuiliwa katika mpaka wa Sirari asiingie nchini Kenya kushiriki mazishi ya aliyekua mwanaharakati nchini Kenya maarufu kwa jina la Odinga.

Wanachi waliokua wamejitokeza kwa wingi walizingira kituo cha polisi na kufanikiwa kumtorosha Tundu Lissu kutoka katika mikono ya polisi

More news to follow:
Tundu lissu ametoroshwaje wakati uupo mahabusu ?
Aliezuiliwa hapa ni heche
 
Back
Top Bottom