mkuuwakaya
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 1,063
- 1,456
Unaonaje ukaenda au tukaenda chama cha SAU! Maana una makelele sanaKwa hizi tuhuma za hela za Abdul na Mama yake na hii ya sasa hivi kuwa mwamba kakunjiwa tena 12b na Mama Abdul na kuahisiwa manpower toka TISS, Polisi na Uvccm ili kumsaidia kushinda ni dhahiri kuwa kama Mbowe "akishinda" ni mwendawazimu tu atakiamini hiki chama kwani ni dhahir shahir kitakuwa kinapokea maelekezo toka Lumumba. Mbowe amekiua kabisa hiki chama.