Wakili Jebra Kambole: CHADEMA inachafuka kwa tuhuma za rushwa

Unaonaje ukaenda au tukaenda chama cha SAU! Maana una makelele sana
 
Mkuu chukua Maua yako πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’
Napokea mkuu kwa mikono miwili. Biblia inasema mwanamke mpumbavu huivunja nyumba yake kwa mikono yake,na hapa Sultan Mbowe anaivunja Chadema aliyoijenga kwa jasho na damu kwa mikono yake mwenyewe kwa kupokea hela ya Samia. So πŸ˜”.
 
Unaonaje ukaenda au tukaenda chama cha SAU! Maana una makelele sana
Huyu mmachame tutabnana naye humu huku kwani na sisi tuna jasho letu humu. Hatukimbii uwanja wa vita ila tunaweze ku retreat in order to advance.
 
Huo ndiyo mpango mzima na ndiyo agano la Sultan Mbowe na mama Abdul.
 
Huo ndiyo mpango mzima na ndiyo agano la Sultan Mbowe na mama Abdul.
Ni mwendo wa kulamba asali tu, hayo mabilioni mengine ya kumzuia lissu kugombea urais sijui wameandaa mabilioni kiasi gani? Kama tu huu uchaguzi wa ndani tetesi toka Twitter zinasema tayari wameinject asali ya 12B, kumzuia Lissu watainject billioni ngapi? 🀣🀣🀣🀣
 
Napokea mkuu kwa mikono miwili. Biblia inasema mwanamke mpumbavu huivunja nyumba yake kwa mikono yake,na hapa Sultan Mbowe anaivunja Chadema aliyoijenga kwa jasho na damu kwa mikono yake mwenyewe kwa kupokea hela ya Samia. So πŸ˜”.
Mkuu hata Sultani Mbowe akiivunja CHADEMA OMBWE la Upinzani wa KWELI bado lipo kubwa hapa Nchini itabidi kufungua Chama kipya na kitapata Wanachama wengi wengi kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…