Wakili Katuga, Jamhuri haikukutuma ukafanye udaku mahakamani

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
17,047
Reaction score
63,206
Sisi tulitegemea ungefanya kazi ya maana ya kwenda kuisaidia mahakama kutenda haki lakini tunachokiona, wewe unaenda kuleta udaku, kuzungumza vitu visivyohusiana na mashitaka. Kiufupi unapoteza muda wa majaji na unakuonyesha kuwa inabidi labda urudi shule kuongeza ujuzi wa sheria.
Sasa Passport ya Shahidi inahusiana nini na mashitaka yaliyo mbele ya mahakama?
Kwamba Shahidi anakwenda Dubai na kulala hoteli nzuri yanaisaidia vipi mahakama kutenda haki?
Kwamba shahidi ana magari mangapi yanawasaidiaje majaji kuthibitisha hati yenu ya mashitaka?

Tulitegemea ujenge ushawishi kwa majaji kuwa mtuhumiwa aliposema atahamasisha uasi basi alimaanisha uasi wa kihaini na si uasi wa kupinga mifumo kandamizi kama baba wa Taifs alivyowahi kuwausia vijana wafanye.

Tulitegemea uishawishi mahakama kuwa mtuhumiwa aliposema tutakinukisha alimaanisha kuinua silaha dhidi ya Jamhuri, au kushirikiana na adui wa nje dhidi ya Jamhuri, au kumdhuru rais wa Jamhuri au kuiondoa serikali kwa nguvu. Tulitegemea uishawishi mahakama kuwa neno kukinukisha ni Kisawe (Synonym) cha Uhaini na kwamba halina maana nyingine yoyote zaidi ya hayo au kwamba haliwezi kutumika kwa kitu kingine chochote zaidi ya hicho!. Tulitegemea uishawishi mahakama kuwa kukinukisha haiwezekani kwenye kitu kingine chochote isipokuwa kwenye uhaini. Sisi wapenda sanaa mara kibao huwa tunaongea mitaani kuwa Harmonize Kakinukisha ile mbaya kwenye show yake, Au Mithun alikinukisha vibays kwenye movie ya Disco Dancer, au Anold Shwazinegger alikinukisha kinoma kwenye movie ya Terminator. Hebu ishawishi mahakama ikuamini kuwa kukinukisha lazima tu uipindue serikali au uitishe serikali.

Tulitegemea uishawishi mahakama kuwa mtuhumiwa aliposema tutavuruga chaguzi hakuwa na maana nyingine yoyote isipokuwa kuitisha serikali, kwamba huwezi kuvuruga uchaguzi kwa kushawishi wananchi kisiasa kutumia haki yao ya kushiriki au kutoshiriki mambo ya siasa kwa kugomea uchaguzi huo na hivyo kuuondolea uhalali wa kisiasa.

Hayo ndo mambo sisi wananchi wa Jamhuri tunaokulipa mshahara kupitia kodi zetu tulitegemea kuyasikia ukiyajengea ushawishi hapo mahakamani na siyo udaku wa Heche ana magari mangapi, kalala hoteli gani, passport kapewa na nani. Hayo kwa maoni yangu ni matumizi mabaya ya muda wa mahakama na Jamhuri.
Hebu tusaidie haki itendeke hapo mahakamani achana na porojo!
 
Jamaa mjinga sana. Anasahau kesi iliyopo mahakamani anaanza kuingilia mambo binafsi ya shahidi.
 
Udaku ule wa Katuga mahakamani ni dhahiri hana tofauti na wale waliotumia hila kumshawishi Pilato asitende haki kwa Yesu Kristo mtu asiyekuwa na hatia.
 
Mimi akili yangu inanituma kuwa, Katuga anamaelekezo ya wakubwa wake waliombambikizia Lissu kesi

Wanadhani kuuliza maswali hayo yasiyo na msingi ni kujaribu kupunguza mahaba ya Watanzania kwa Chadema na viongozi wake

Kumbe ni ujinga tupu
 
wamepuyanga.

Sisi interest yetu ni Haki itendeke mahakamani baasi. Porojo haziwezi kutenda haki.

Kama Katuga anatafuta Ujaji kupitia kitanzi katika shingo ya Lissu bila haki basi wananchi tunaona na hatutasahau.
 
Mimi akili yangu inanituma kuwa, Katuga anamaelekezo ya wakubwa wake waliombambikizia Lissu kesi

Wanadhani kuuliza maswali hayo yasiyo na msingi ni kujaribu kupunguza mahaba ya Watanzania kwa Chadema na viongozi wake

Kumbe ni ujinga tupu
wamepuyanga.

Sisi interest yetu ni Haki itenfeke mahakamani baasi.

Kama Katuga anatafuta Ujaji kupitia kitanzi katika shingo ya Lissu bila haki basi wananchi tunaona na hatutasahau
 
Sisi tulitegemea ungefanya kazi ya maana ya kwenda kuisaidia mahakama kutenda haki lakini tunachokiona, wewe unaenda kuleta udaku, kuzungumza vitu visivyohusiana na mashitaka. Kiufupi unapoteza muda wa majaji na unakuonyesha kuwa inabidi labda urudi shule kuongeza ujuzi wa sheria.
Sasa Passport ya Shahidi inahusiana nini na mashitaka yaliyo mbele ya mahakama?
Kwamba Shahidi anakwenda Dubai na kulala hoteli nzuri yanaisaidia vipi mahakama kutenda haki?
Kwamba shahidi ana magari mangapi yanawasaidiaje majaji kuthibitisha hati yenu ya mashitaka?

Tulitegemea ujenge ushawishi kwa majaji kuwa mtuhumiwa aliposema atahamasisha uasi basi alimaanisha uasi wa kihaini na si uasi wa kupinga mifumo kandamizi kama baba wa Taifs alivyowahi kuwausia vijana wafanye.

Tulitegemea uishawishi mahakama kuwa mtuhumiwa aliposema tutakinukisha alimaanisha kuinua silaha dhidi ya Jamhuri, au kushirikiana na adui wa nje dhidi ya Jamhuri, au kumdhuru rais wa Jamhuri au kuiondoa serikali kwa nguvu. Tulitegemea uishawishi mahakama kuwa neno kukinukisha ni Kisawe (Synonym) cha Uhaini na kwamba halina maana nyingine yoyote zaidi ya hayo au kwamba haliwezi kutumika kwa kitu kingine chochote zaidi ya hicho!. Tulitegemea uishawishi mahakama kuwa kukinukisha haiwezekani kwenye kitu kingine chochote isipokuwa kwenye uhaini. Sisi wapenda sanaa mara kibao huwa tunaongea mitaani kuwa Harmonize Kakinukisha ile mbaya kwenye show yake, Au Mithun alikinukisha vibays kwenye movie ya Disco Dancer, au Anold Shwazinegger alikinukisha kinoma kwenye movie ya Terminator. Hebu ishawishi mahakama ikuamini kuwa kukinukisha lazima tu uipindue serikali au uitishe serikali.

Tulitegemea uishawishi mahakama kuwa mtuhumiwa aliposema tutavuruga chaguzi hakuwa na maana nyingine yoyote isipokuwa kuitisha serikali, kwamba huwezi kuvuruga uchaguzi kwa kushawishi wananchi kisiasa kutumia haki yao ya kushiriki au kutoshiriki mambo ya siasa kwa kugomea uchaguzi huo na hivyo kuuondolea uhalali wa kisiasa.

Hayo ndo mambo sisi wananchi wa Jamhuri tunaokulipa mshahara kupitia kodi zetu tulitegemea kuyasikia ukiyajengea ushawishi hapo mahakamani na siyo udaku wa Heche ana magari mangapi, kalala hoteli gani, passport kapewa na nani. Hayo kwa maoni yangu ni matumizi mabaya ya muda wa mahakama na Jamhuri.
Hebu tusaidie haki itendeke hapo mahakamani achana na porojo!
Mkuu acha kudandia taaluma za watu. Nafikiri kama ungekuwa udaku au kama alichokuwa anakifanya kingekuwa hakiko sawa mahakama na hata mshitakiwa angelalamika na asingeendelea. Tupunguze ujuaji kwa vitu ambavyo vipo nje ya uelewa wetu.

Watanzania ujuaji hata kwa vitu tusivyo na uelewa navyo umezidi. Mbaya zaidi siyo watu tunaopenda kujifunza bali kukariri maneno mawili na kutamba nayo mtaani.
 
Naunga mkono hoja.
Sisi tulitegemea ungefanya kazi ya maana ya kwenda kuisaidia mahakama kutenda haki lakini tunachokiona, wewe unaenda kuleta udaku, kuzungumza vitu visivyohusiana na mashitaka. Kiufupi unapoteza muda wa majaji na unakuonyesha kuwa inabidi labda urudi shule kuongeza ujuzi wa sheria.
Sasa Passport ya Shahidi inahusiana nini na mashitaka yaliyo mbele ya mahakama?
Kwamba Shahidi anakwenda Dubai na kulala hoteli nzuri yanaisaidia vipi mahakama kutenda haki?
Kwamba shahidi ana magari mangapi yanawasaidiaje majaji kuthibitisha hati yenu ya mashitaka?

Tulitegemea ujenge ushawishi kwa majaji kuwa mtuhumiwa aliposema atahamasisha uasi basi alimaanisha uasi wa kihaini na si uasi wa kupinga mifumo kandamizi kama baba wa Taifs alivyowahi kuwausia vijana wafanye.

Tulitegemea uishawishi mahakama kuwa mtuhumiwa aliposema tutakinukisha alimaanisha kuinua silaha dhidi ya Jamhuri, au kushirikiana na adui wa nje dhidi ya Jamhuri, au kumdhuru rais wa Jamhuri au kuiondoa serikali kwa nguvu. Tulitegemea uishawishi mahakama kuwa neno kukinukisha ni Kisawe (Synonym) cha Uhaini na kwamba halina maana nyingine yoyote zaidi ya hayo au kwamba haliwezi kutumika kwa kitu kingine chochote zaidi ya hicho!. Tulitegemea uishawishi mahakama kuwa kukinukisha haiwezekani kwenye kitu kingine chochote isipokuwa kwenye uhaini. Sisi wapenda sanaa mara kibao huwa tunaongea mitaani kuwa Harmonize Kakinukisha ile mbaya kwenye show yake, Au Mithun alikinukisha vibays kwenye movie ya Disco Dancer, au Anold Shwazinegger alikinukisha kinoma kwenye movie ya Terminator. Hebu ishawishi mahakama ikuamini kuwa kukinukisha lazima tu uipindue serikali au uitishe serikali.

Tulitegemea uishawishi mahakama kuwa mtuhumiwa aliposema tutavuruga chaguzi hakuwa na maana nyingine yoyote isipokuwa kuitisha serikali, kwamba huwezi kuvuruga uchaguzi kwa kushawishi wananchi kisiasa kutumia haki yao ya kushiriki au kutoshiriki mambo ya siasa kwa kugomea uchaguzi huo na hivyo kuuondolea uhalali wa kisiasa.

Hayo ndo mambo sisi wananchi wa Jamhuri tunaokulipa mshahara kupitia kodi zetu tulitegemea kuyasikia ukiyajengea ushawishi hapo mahakamani na siyo udaku wa Heche ana magari mangapi, kalala hoteli gani, passport kapewa na nani. Hayo kwa maoni yangu ni matumizi mabaya ya muda wa mahakama na Jamhuri.
Hebu tusaidie haki itendeke hapo mahakamani achana na porojo!
HukoNaunga mkono hoja.Umeeleza kwa busara sana.Huko ni kuaibisha Serikali ionekane inatumia uvumi na tetesi badala ya ushahidi mathubuti.
Kwa taratibu za uendeshaji kesi nzito kama hiyo ya Lissu huwa kwanza Mawakili wa Serikali wanakaa vikao na kukubaliana Nini cha kusema na kuwasilisha kama vielelezo vya ushahidi.
Lakini Katuga na wenzake wanakurupuka na kuanza kuhoji kama wanaofanya mipasho.
 
Kesi ya kubumba ilishapoteza dira wakaona waje na vioja kutengeza attention tu.
 
Sisi tulitegemea ungefanya kazi ya maana ya kwenda kuisaidia mahakama kutenda haki lakini tunachokiona, wewe unaenda kuleta udaku, kuzungumza vitu visivyohusiana na mashitaka. Kiufupi unapoteza muda wa majaji na unakuonyesha kuwa inabidi labda urudi shule kuongeza ujuzi wa sheria.
Sasa Passport ya Shahidi inahusiana nini na mashitaka yaliyo mbele ya mahakama?
Kwamba Shahidi anakwenda Dubai na kulala hoteli nzuri yanaisaidia vipi mahakama kutenda haki?
Kwamba shahidi ana magari mangapi yanawasaidiaje majaji kuthibitisha hati yenu ya mashitaka?

Tulitegemea ujenge ushawishi kwa majaji kuwa mtuhumiwa aliposema atahamasisha uasi basi alimaanisha uasi wa kihaini na si uasi wa kupinga mifumo kandamizi kama baba wa Taifs alivyowahi kuwausia vijana wafanye.

Tulitegemea uishawishi mahakama kuwa mtuhumiwa aliposema tutakinukisha alimaanisha kuinua silaha dhidi ya Jamhuri, au kushirikiana na adui wa nje dhidi ya Jamhuri, au kumdhuru rais wa Jamhuri au kuiondoa serikali kwa nguvu. Tulitegemea uishawishi mahakama kuwa neno kukinukisha ni Kisawe (Synonym) cha Uhaini na kwamba halina maana nyingine yoyote zaidi ya hayo au kwamba haliwezi kutumika kwa kitu kingine chochote zaidi ya hicho!. Tulitegemea uishawishi mahakama kuwa kukinukisha haiwezekani kwenye kitu kingine chochote isipokuwa kwenye uhaini. Sisi wapenda sanaa mara kibao huwa tunaongea mitaani kuwa Harmonize Kakinukisha ile mbaya kwenye show yake, Au Mithun alikinukisha vibays kwenye movie ya Disco Dancer, au Anold Shwazinegger alikinukisha kinoma kwenye movie ya Terminator. Hebu ishawishi mahakama ikuamini kuwa kukinukisha lazima tu uipindue serikali au uitishe serikali.

Tulitegemea uishawishi mahakama kuwa mtuhumiwa aliposema tutavuruga chaguzi hakuwa na maana nyingine yoyote isipokuwa kuitisha serikali, kwamba huwezi kuvuruga uchaguzi kwa kushawishi wananchi kisiasa kutumia haki yao ya kushiriki au kutoshiriki mambo ya siasa kwa kugomea uchaguzi huo na hivyo kuuondolea uhalali wa kisiasa.

Hayo ndo mambo sisi wananchi wa Jamhuri tunaokulipa mshahara kupitia kodi zetu tulitegemea kuyasikia ukiyajengea ushawishi hapo mahakamani na siyo udaku wa Heche ana magari mangapi, kalala hoteli gani, passport kapewa na nani. Hayo kwa maoni yangu ni matumizi mabaya ya muda wa mahakama na Jamhuri.
Hebu tusaidie haki itendeke hapo mahakamani achana na porojo!
wakili Nassoro Katuga anapiga makwenzi ya utosini kabisa gentleman, dah!🐒
 
Hamtamsahau Katuga maishani mwenu

Hata akina Mobutu hawatasahaulika ila kwa mauaji aliyoyafanya , ndio hivyo hivyo Katuga hatasahaulika kwa ujinga wake.

Kesi inaitwa ya uhaini tulitarajia tusikie kambi za kijeshi,bunduki , mabomu , mamluki, ramani za ikulu na kambi za jeshi.

Badala yake tunasikia jezi ya Arsenal, hotel ya Dubai, kadi za gari na trekta , miamala ya pesa benki tena katika account binafsi ya mtu.

Jinga lao katika ubora wako.
 
Back
Top Bottom