comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
Kibatala: Mheshimiwa Jaji niende kwenye hii Kesi ya Wenzetu ya UGANDA Vs OKUMU REGAN AND OTHERS Kama Kuna Kesi itakuisaidia basi kesi hii.. Na Kupeleka Ukurasa wa Tano, Sisi tumesema Kwamba Shahidi Ni INCOMPETENT.
Kibatala: Kama unaona Kuna ugumu wa kufanya uamuzi kwenye kesi hii naomba itumie kesi ya UGANDA Vs OKUMU REGAN AND OTHERS.. Ni hayo tuh Mheshimiwa Jaji.. Kibatala anakaa chini kwa utaratibu maalum kabisa.
Kesi yenyewe hii hapa.