Zeus1
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 7,331
- 9,542
🤣🤣🤣🤣Sijawahi kuwa na akili mimi.ila hata saa mbovu Kuna wakati inasema kweli
🤣🤣🤣🤣Sijawahi kuwa na akili mimi.ila hata saa mbovu Kuna wakati inasema kweli
“Nimeona hiyo karatasi lakini inamtaja mteja wangu Askofu Josephat Gwajima nitatoa taarifa rasmi saa 11 ya kisheria na nini kinafuata lakini ni mwaka wa kuchoka sana, kuchoka mwili na kuchoka roho pia lakini Mungu wa mbinguni atatutia nguvu”
Ni maneno ya Wakili Peter Kibatala ambaye ni wakili wa Josephat Gwajima(Askofu Mkuu wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima) akizungumza na Jambo TV leo Novemba 08, 2025 baada ya kupata taarifa kuwa mteja wake ni miongoni mwa wanaotafutwa ili kukamatwa na Jeshi la Polisi nchini kwa madai ya kuhusika kwake kupanga na kutekeleza vurugu zilizotokea nchini Oktoba 29, 2025.
View attachment 3499058
Source Jambo TV
Kama siyo matakwa ya kisheria, michawa na mitapeli kama gwijimmy havipaswa kutetewa na wakili yeyote. Mwambie akawashitaki kwa Magu wanaomtafuta“Nimeona hiyo karatasi lakini inamtaja mteja wangu Askofu Josephat Gwajima nitatoa taarifa rasmi saa 11 ya kisheria na nini kinafuata lakini ni mwaka wa kuchoka sana, kuchoka mwili na kuchoka roho pia lakini Mungu wa mbinguni atatutia nguvu”
Ni maneno ya Wakili Peter Kibatala ambaye ni wakili wa Josephat Gwajima(Askofu Mkuu wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima) akizungumza na Jambo TV leo Novemba 08, 2025 baada ya kupata taarifa kuwa mteja wake ni miongoni mwa wanaotafutwa ili kukamatwa na Jeshi la Polisi nchini kwa madai ya kuhusika kwake kupanga na kutekeleza vurugu zilizotokea nchini Oktoba 29, 2025.
View attachment 3499058
Source Jambo TV
Atoe msamaha kwa hao majangili??Mama kama kweli ana taka maridhiano atoe msamaha Kwa wote kuanzia viongozi wa upinzani mpaka wananchi waliokamatwa sababu ya maandamano.kama makosa WOTE TUNA MAKOSA serikali na wananchi pia.ni muda wa kuanza upya.
Lakini lazma wakae wafanye reforms ambazo wapinzani wanataka.tunajua ccm hawawezi kuachia ikulu lakini hivi ni kweli Kuna lazma mwenyekiti wa serikali za mtaa awe ccm,mbunge awe ccm diwani awe ccm?Tena Kwa kura za wizi?
Too late,tunataka ku uproot mfumo mzima wa chama dola.Mama kama kweli ana taka maridhiano atoe msamaha Kwa wote kuanzia viongozi wa upinzani mpaka wananchi waliokamatwa sababu ya maandamano.kama makosa WOTE TUNA MAKOSA serikali na wananchi pia.ni muda wa kuanza upya.
Lakini lazma wakae wafanye reforms ambazo wapinzani wanataka.tunajua ccm hawawezi kuachia ikulu lakini hivi ni kweli Kuna lazma mwenyekiti wa serikali za mtaa awe ccm,mbunge awe ccm diwani awe ccm?Tena Kwa kura za wizi?
Sawa ila myakumbuke na haya .siwatishi ila tujiandae tu.Too late,tunataka ku uproot mfumo mzima wa chama dola.
Hakuna jangili hapo.Atoe msamaha kwa hao majangili??
Lile tukio ndio lililofanya hadi nami nikaandamana.Akiamua kufanya suluhu ya maridhiano anatakiwa akomeshe na hilo.maana nalo ndo chanzo Cha yote haya.mtu kama mzee kibao anashushwa kwenye gari anakwenda kuuliwa na kutupwa ununio alafu mpaka Leo hakuna uchunguzi wowote ni jambo linalompa sifa mbaya.