Wakili Kibatala: Nitatoa taarifa rasmi kuhusu Askofu Gwajima Saa 11 Jioni


Kama siyo matakwa ya kisheria, michawa na mitapeli kama gwijimmy havipaswa kutetewa na wakili yeyote. Mwambie akawashitaki kwa Magu wanaomtafuta
 
Atoe msamaha kwa hao majangili??
 
Too late,tunataka ku uproot mfumo mzima wa chama dola.
 

Attachments

  • Screenshot_20251108-032013.jpg
    205.5 KB · Views: 20
  • FB_IMG_1762454352881.jpg
    76.6 KB · Views: 17
Atoe msamaha kwa hao majangili??
Hakuna jangili hapo.
Ni suala la kuanza upya.hata yeye na serikali yake Wana makosa.
Hasira hizo hazikutokea ghafla tu Kuna chanzo.
Kuna mambo serikali ilikuwa inafanya hayana umuhimu.
Kuteka,kuua,kukamata WAKOSOAJI wake n.k.
 
Akiamua kufanya suluhu ya maridhiano anatakiwa akomeshe na hilo.maana nalo ndo chanzo Cha yote haya.mtu kama mzee kibao anashushwa kwenye gari anakwenda kuuliwa na kutupwa ununio alafu mpaka Leo hakuna uchunguzi wowote ni jambo linalompa sifa mbaya.
Lile tukio ndio lililofanya hadi nami nikaandamana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…