Wakili Kilatu: Ukamataji unaofanyika sasa ni kama utekaji

Wakili Kilatu: Ukamataji unaofanyika sasa ni kama utekaji

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Akitoa tathmini yake kuhusu hali ya utawala wa sheria nchini kupitia kipindi cha Jambo Asubuhi kinachorushwa na Jambo TV, Wakili Edson Kilatu ameeleza kuwa hali ya utawala wa sheria nchini Tanzania kwa sasa inasuasua.

Soma Pia: Wakili Kilatu atilia shaka uhuru wa tume ya ya haki za binadamu nchi

Akitolea mifano ya matukio ya hivi karibuni yanayohusisha ukamataji wa watuhumiwa wa makosa mbalimbali, Wakili Kilatu ameifananisha hali hiyo na utekaji, akidai kuwa baadhi ya maafisa wa Jeshi la Polisi wamekuwa wakikamata watuhumiwa bila kujitambulisha na wakati mwingine kutumia nguvu kupita kiasi.

 
Back
Top Bottom