Leo hapa Arusha Ungalimited Maeneo ya Soko Mjinga alikuja Polisi akakamata vijana wawili akawafunga Pingu, akaanza kwenda nao kituoni sasa cha ajabu njiani akaanza kuwapiga na fimbo kichwani mmoja damu zikaanza kumvuja.
Basi Vijana hao walimkamata polisi kama unavyoona kwenye video...
Siku hizi Anakamatwa Mtu ,lkn unashindwa kujua, Amekamatwa au Ametekwa!.
Ametekwa na Jeshi la Polisi ? Ametekwa na Usàlama? Ametekwa na Wahalifu ?.
Nmekua Mstari mbele nikikemea Tabia hii ya Polisi, Tabia ya Kihuni , Tabia hii inaacha mashimo ya Kiulinzi na Usalama !.
Wahalifu , Walipa Visasi...
Akitoa tathmini yake kuhusu hali ya utawala wa sheria nchini kupitia kipindi cha Jambo Asubuhi kinachorushwa na Jambo TV, Wakili Edson Kilatu ameeleza kuwa hali ya utawala wa sheria nchini Tanzania kwa sasa inasuasua.
Soma Pia: Wakili Kilatu atilia shaka uhuru wa tume ya ya haki za binadamu...
Watu wenye silaha, wakiwa na gari aina ya Toyota Landcruizer isiyo na plate number wamevamia nyumbani kwa mwanaharakati wa mazingira na kada wa CCM, Alex Chage mjini Morogoro majira ya saa 8 usiku wa kuamkia leo, na kumchukua kwa nguvu mbele ya mke wake na mwanae.
Watu hao waliojitambulisha...
Polisi Mkoa wa Tarime Rorya wamekanusha madai ya utekaji katika mji wa Sirari, wakisema tukio lililotajwa ni operesheni ya kawaida ya kukamata watuhumiwa wawili.
Tukio hilo lilitokea Oktoba 21, 2025 saa 11:30 jioni na watuhumiwa walipelekwa kituo cha polisi kwa hatua za kisheria.
Baada ya...
wakuu, kwa mtindo wa ukamataji wa jeshi la polisi, ni wazi kabisa wanakaribisha matendo ya kiharifu nchini, maana huwezi kuwa na uhakika kuwa huyu ni askali polisi kweli au kibaka.
Nadhani , ni wakati muafaka kwa jeshi la polisi kukaa na kujitasmini kama ukamataji wa watuhumiwa unafuata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.