Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Leo hapa Arusha Ungalimited Maeneo ya Soko Mjinga alikuja Polisi akakamata vijana wawili akawafunga Pingu, akaanza kwenda nao kituoni sasa cha ajabu njiani akaanza kuwapiga na fimbo kichwani mmoja damu zikaanza kumvuja.
Basi Vijana hao walimkamata polisi kama unavyoona kwenye video, wakamtembezea kichapo Mpaka akawafungulia Pingu, wananchi hakuna hata mmoja alieamulia walikuwa wanashangilia tu, baada ya Polisi kuwafungulia Pingu Vijana hao akachukuwa boda akakimbia.
Kuangalia VIZURI video hii utaona Pingu mikononi, Unaambiwa Polisi alipigwa roba Matata amejachafua sana Hali ya HEWA.
Soma Pia: Polisi wawili wauawa kwa mapanga na wananchi wenye hasira Ngara; kituo cha polisi chachomwa moto!
Wananchi wamechoka manyanyaso ya kijinga, bila Shaka tukio hili Polisi mnalakujifunza, kama Polisi anapigwa watu wanashangilia hatua hii ni mbaya sana.