Wakili Madeleka anatumika na dola kumsafisha Mbunge Gekul

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Kuna move Madeleka anacheza na serikali kwa mgongo wa wanaharakati na uwakili. Kesi ya Gekul ilikuwa inafanyiwa uchunguzi na jeshi la polisi Nchini. Tukaambiwa jalada limepelekwa kwa DPP; siku taarifa zinatoka Madeleka akasema anataka kufungua kesi dhidi ya Gekul. DPP kaanza kupiga dana dana no updates hadi leo.

Tunafahamu mahakama zetu kwamba zinaendeshwa na wishes za serikali. Haiwezekani DPP akae kimya hakimu ajitutumue kuruhusu Mbunge aitwe mahakamani. Kesi imeisha hii, mnyonge hana haki Tanzania .

Lakini pia ukiangalia mchezo anaocheza Madeleka unabaini system inamlipa. Juzi tumeona anatupia mtandaoni barua za wateja wake kwamba wameonewa na mfumo ila hakuna kesi aliyofungua kuwasaidia wateja wake.

Natabiri huyu kiumbe kaeni naye kwa akili hasa mawakili wenzake. Achelewi kuchota taarifa zenu nakuzipeleka kwingine

Sijawahi kuamini kwamba polisi anaishiwa tamaaaa. Huyu ni Polisi tusimwamini maana naye anamahitaji ya mookoto na madaraka.
 
Kuna move Madeleka anacheza na serikali kwa mgongo wa wanaharakati na uwakili. Kesi ya Gekul ilikuwa inafanyiwa uchunguzi na jeshi la polisi Nchini. Tukaambiwa jalada limepelekwa kwa DPP; siku taarifa zinatoka Madeleka akasema anataka kufungua kesi dhidi ya Gekul.....DPP kaanza kupiga dana dana no updates hadi leo.

Tunafahamu mahakama zetu kwamba zinaendeshwa na wishes za serikali. Haiwezekani DPP akae kimya hakimu ajitutumue kuruhusu Mbunge aitwe mahakamani. Kesi imeisha hii, mnyonge hana haki Tanzania .

Lakini pia ukiangalia mchezo anaocheza madeleka unabaini system inamlipa.....juzi tumeona anatupia mtandaoni barua za wateja wake kwamba wameonewa na mfumo ila hakuna kesi aliyofungua kuwasaidia wateja wake.

Natabiri huyu kiumbe kaeni naye kwa akili hasa mawakili wenzake. Achelewi kuchota taarifa zenu nakuzipeleka kwingine

Sijawahi kuamini kwamba polisi anaishiwa tamaaaa. Huyu ni Polisi tusimwamini maana naye anamahitaji ya mookoto na madaraka.
heading haieleweki...............................eg hii ndiyo nini? "Madeleka umpe pande Madeleka".
 
Limetimia
Kuna move Madeleka anacheza na serikali kwa mgongo wa wanaharakati na uwakili. Kesi ya Gekul ilikuwa inafanyiwa uchunguzi na jeshi la polisi Nchini. Tukaambiwa jalada limepelekwa kwa DPP; siku taarifa zinatoka Madeleka akasema anataka kufungua kesi dhidi ya Gekul. DPP kaanza kupiga dana dana no updates hadi leo.

Tunafahamu mahakama zetu kwamba zinaendeshwa na wishes za serikali. Haiwezekani DPP akae kimya hakimu ajitutumue kuruhusu Mbunge aitwe mahakamani. Kesi imeisha hii, mnyonge hana haki Tanzania .

Lakini pia ukiangalia mchezo anaocheza Madeleka unabaini system inamlipa. Juzi tumeona anatupia mtandaoni barua za wateja wake kwamba wameonewa na mfumo ila hakuna kesi aliyofungua kuwasaidia wateja wake.

Natabiri huyu kiumbe kaeni naye kwa akili hasa mawakili wenzake. Achelewi kuchota taarifa zenu nakuzipeleka kwingine

Sijawahi kuamini kwamba polisi anaishiwa tamaaaa. Huyu ni Polisi tusimwamini maana naye anamahitaji ya mookoto na madaraka.
 
Kuna move Madeleka anacheza na serikali kwa mgongo wa wanaharakati na uwakili. Kesi ya Gekul ilikuwa inafanyiwa uchunguzi na jeshi la polisi Nchini. Tukaambiwa jalada limepelekwa kwa DPP; siku taarifa zinatoka Madeleka akasema anataka kufungua kesi dhidi ya Gekul. DPP kaanza kupiga dana dana no updates hadi leo.

Tunafahamu mahakama zetu kwamba zinaendeshwa na wishes za serikali. Haiwezekani DPP akae kimya hakimu ajitutumue kuruhusu Mbunge aitwe mahakamani. Kesi imeisha hii, mnyonge hana haki Tanzania .

Lakini pia ukiangalia mchezo anaocheza Madeleka unabaini system inamlipa. Juzi tumeona anatupia mtandaoni barua za wateja wake kwamba wameonewa na mfumo ila hakuna kesi aliyofungua kuwasaidia wateja wake.

Natabiri huyu kiumbe kaeni naye kwa akili hasa mawakili wenzake. Achelewi kuchota taarifa zenu nakuzipeleka kwingine

Sijawahi kuamini kwamba polisi anaishiwa tamaaaa. Huyu ni Polisi tusimwamini maana naye anamahitaji ya mookoto na madaraka.
Madereka ni wakili bro, hata MTU mouvu kama shetani, anastahili kutetewa mahakamani! Ndio dunia ya ustaarabu inavyotaka, taasisi pekee ya kusema Gekul, amefsnya kosa,na anahatia, ni mahakama pekee, sio mitandao ya kijamii! Tuheshimu utawala wa sheria!
 
Huyo ni Polisi, halafu bado anasomeka yuko kazini mpaka sasa
 
Kuna move Madeleka anacheza na serikali kwa mgongo wa wanaharakati na uwakili. Kesi ya Gekul ilikuwa inafanyiwa uchunguzi na jeshi la polisi Nchini. Tukaambiwa jalada limepelekwa kwa DPP; siku taarifa zinatoka Madeleka akasema anataka kufungua kesi dhidi ya Gekul. DPP kaanza kupiga dana dana no updates hadi leo.

Tunafahamu mahakama zetu kwamba zinaendeshwa na wishes za serikali. Haiwezekani DPP akae kimya hakimu ajitutumue kuruhusu Mbunge aitwe mahakamani. Kesi imeisha hii, mnyonge hana haki Tanzania .

Lakini pia ukiangalia mchezo anaocheza Madeleka unabaini system inamlipa. Juzi tumeona anatupia mtandaoni barua za wateja wake kwamba wameonewa na mfumo ila hakuna kesi aliyofungua kuwasaidia wateja wake.

Natabiri huyu kiumbe kaeni naye kwa akili hasa mawakili wenzake. Achelewi kuchota taarifa zenu nakuzipeleka kwingine

Sijawahi kuamini kwamba polisi anaishiwa tamaaaa. Huyu ni Polisi tusimwamini maana naye anamahitaji ya mookoto na madaraka.
Keep in mind that "Once a Soldier always a Soldier," and "Once a Spy always a Spy."
 
Tukio ni igizo,

Wakili wa maigizo,

Tujikite kwenye mambo ya msingi.
 
Kuna move Madeleka anacheza na serikali kwa mgongo wa wanaharakati na uwakili. Kesi ya Gekul ilikuwa inafanyiwa uchunguzi na jeshi la polisi Nchini. Tukaambiwa jalada limepelekwa kwa DPP; siku taarifa zinatoka Madeleka akasema anataka kufungua kesi dhidi ya Gekul. DPP kaanza kupiga dana dana no updates hadi leo.

Tunafahamu mahakama zetu kwamba zinaendeshwa na wishes za serikali. Haiwezekani DPP akae kimya hakimu ajitutumue kuruhusu Mbunge aitwe mahakamani. Kesi imeisha hii, mnyonge hana haki Tanzania .

Lakini pia ukiangalia mchezo anaocheza Madeleka unabaini system inamlipa. Juzi tumeona anatupia mtandaoni barua za wateja wake kwamba wameonewa na mfumo ila hakuna kesi aliyofungua kuwasaidia wateja wake.

Natabiri huyu kiumbe kaeni naye kwa akili hasa mawakili wenzake. Achelewi kuchota taarifa zenu nakuzipeleka kwingine

Sijawahi kuamini kwamba polisi anaishiwa tamaaaa. Huyu ni Polisi tusimwamini maana naye anamahitaji ya mookoto na madaraka.
Unamlaumu Peter badala ya kuona yanayotendeq na DPP na mahakama yenyewe!
Nchi hii ni janga.
 
Wewe inaonekana humjui madeleka vizuri, hana huu upumbavu wako unaoelezea hapa
 
Unamlaumu Peter badala ya kuona yanayotendeq na DPP na mahakama yenyewe!
Nchi hii ni janga.
Huyu jamaa ni mpumbavu, hajui hata alichoandika. DPP Kafuta kesi anaelaumiwa ni Madeleka, hiki ni kiwango gani cha upumbavu?
 
Back
Top Bottom