Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
Wakili Madeleka amesema yapo mambo ambayo yanashughulikiwana muungano wa falme za Kiarabu na yapo mambo yanashughulikiwa 'individual emirate'
Madeleka ametolea mfano wa Zanzibar isivyoweza kusain mktaba na Kenya, kuchukua mkopo japokuwa inae Rais. Madeleka amesema Zanzibar haina ubalozi popote duniani.
Madeleka amesema katiba ya umoja wa falme za kiarabu inasema mambo ya kimataifa yatashughulikiwa na muungano wa falme za kiarabu na Dubai haiwezi kuingia mkataba wa kimataifa.
Madeleka amesema Dubai imefanya utapeli kusema ina uwezo wa kuingia makubaliano ya kimataifa kwani Tanzania ni nchi na Dubai sio nchi.