bin haroub
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,662
- 812
Kwa nini ilipe tanganyika na iliokopa ni Zanzibar?Wanatumia mgongo wa Tanganyika (Tanzania) kukopa, halafu mwisho wa siku Watanganyika ndiyo watakaokuja kulipa huo mkopo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini ilipe tanganyika na iliokopa ni Zanzibar?Wanatumia mgongo wa Tanganyika (Tanzania) kukopa, halafu mwisho wa siku Watanganyika ndiyo watakaokuja kulipa huo mkopo.
Kwa nini ilipe tanganyika na iliokopa ni Zanzibar?Mikopo yote ya zanzibar unalipa wewe mtanganyika wao hawalipi hata mia mbovu
Kwani zanzibar ni Mkoa?Idadi ya wananchi zanzibar ni ndogo kuliko mkoa wa mwanza lakini zanzibar ina mgao mkubwa kuliko mwanza ajabu sana hii
Baraza la wawakilishibaraza la mawaziri
Faida inayo na ndio maana mnatumia maguvu na mabavu kuulazimisha MuunganoHivi Zanzibar ina faida gani kwenye huu Muungano? Kwanini tusiuvunje wajitegemee na huyu mama aondokee aende huko.
Huu Muungano unatuletea hasara sana hasa kwakuwa na viongozi wenye asili ya huko wasio na faida.
Ni mkusanyiko wa visiwa vya pemba na ungujaKwani zanzibar ni Mkoa?
Lakini sio mkoaNi mkusanyiko wa visiwa vya pemba na unguja
[emoji3578]
Ni mkusanyiko wa visiwa vya pemba na ungujaLakini sio mkoa
IGA haijsema kitu kama hicho, wewe kapuru unaokeza kutoka wapi?Sawa na Dubai inatumia mgongo wa UAE badaye ndowataajibika kwa lolote.
Kwa bahati mbaya sana Mh. Madeleka anapotosha. Ni kweli The Emirate of Dubai siyo nchi na masuala ya uhusiano wa kimataifa ni suala la muungano yaani Umoja wa Falme za Kiarabu. Katiba yao inasema falme zinaweza ingia mikataba ya kimataifa ilimradi:-Wakili Madeleka amesema yapo mambo ambayo yanashughulikiwana muungano wa falme za Kiarabu na yapo mambo yanashughulikiwa 'individual emirate'
Madeleka ametolea mfano wa Zanzibar isivyoweza kusain mktaba na Kenya, kuchukua mkopo japokuwa inae Rais. Madeleka amesema Zanzibar haina ubalozi popote duniani.
Madeleka amesema katiba ya umoja wa falme za kiarabu inasema mambo ya kimataifa yatashughulikiwa na muungano wa falme za kiarabu na Dubai haiwezi kuingia mkataba wa kimataifa.
Madeleka amesema Dubai imefanya utapeli kusema ina uwezo wa kuingia makubaliano ya kimataifa kwani Tanzania ni nchi na Dubai sio nchi.
Kama mnashindwa kusimamia kaeneo kadogo tu kama bandari ,kwa kisingizio cha wizi , hiyo nchi mtaiendeshaje je huo wizi nani amexhukuliwa hatua ,au mmekaa tu kusiema bandarin kuna wizi halafu hamchukui hatua ,Peter Madeleka anakataa katakata kuhusu uwekezaji kwenye bandari, anataka mambo yaende hivihivi pale bandarini, hakerwi na wizi na udhaifu wa bandari. Tujiulize, j,e, Madeleka anazo hoja au maslahi yake binafsi? Je, anapotumia neno "sisi" anamaanisha wao akina nani? anawawakilisha akina nani?
utamuweka nani? Dawa pekee ni kutumia vifaa ambavyo hatuna na hatuna hela hizo.Kama mnashindwa kusimamia kaeneo kadogo tu kama bandari ,kwa kisingizio cha wizi , hiyo nchi mtaiendeshaje je huo wizi nani amexhukuliwa hatua ,au mmekaa tu kusiema bandarin kuna wizi halafu hamchukui hatua ,
Peter ni wa Tabora kama sikosei, Bandarini wamejaa wazanzibar tupu, Peter na bandari wapi na wapi?Peter Madeleka anakataa katakata kuhusu uwekezaji kwenye bandari, anataka mambo yaende hivihivi pale bandarini, hakerwi na wizi na udhaifu wa bandari. Tujiulize, j,e, Madeleka anazo hoja au maslahi yake binafsi? Je, anapotumia neno "sisi" anamaanisha wao akina nani? anawawakilisha akina nani?
wao ni wezi, watu wataachaje kuiba na huku wao ndiyo wanawatuma kuiba?Kama mnashindwa kusimamia kaeneo kadogo tu kama bandari ,kwa kisingizio cha wizi , hiyo nchi mtaiendeshaje je huo wizi nani amexhukuliwa hatua ,au mmekaa tu kusiema bandarin kuna wizi halafu hamchukui hatua ,