Wakili Madeleka: Dubai sio nchi kama ilivyo Zanzibar hivyo haiwezi kuingia mkataba na nchi nyingine

Wakili Madeleka: Dubai sio nchi kama ilivyo Zanzibar hivyo haiwezi kuingia mkataba na nchi nyingine

Peter Madeleka anakataa katakata kuhusu uwekezaji kwenye bandari, anataka mambo yaende hivihivi pale bandarini, hakerwi na wizi na udhaifu wa bandari. Tujiulize, j,e, Madeleka anazo hoja au maslahi yake binafsi? Je, anapotumia neno "sisi" anamaanisha wao akina nani? anawawakilisha akina nani?

Aumbe bandari ya peke yake kama anaweza.
 
Peter Madeleka anakataa katakata kuhusu uwekezaji kwenye bandari, anataka mambo yaende hivihivi pale bandarini, hakerwi na wizi na udhaifu wa bandari. Tujiulize, j,e, Madeleka anazo hoja au maslahi yake binafsi? Je, anapotumia neno "sisi" anamaanisha wao akina nani? anawawakilisha akina nani?

mufilisi ww
 
Ana hoja
Bora yeye kuliko hao operesheni 255
Hakuna opposition bongo
Vyama vyooote ni wamoja
Wanajali madaraka matumbo yao hakuna kingine.
Safari ya kumkomboa MTanganyika safari bado ni ndefu sana…
Kushindq kuhubiri ‘wameuza Bandari nyenyeeee’ bila action ni kutuona wote hamnazo..
Maria is a true mwanaharakati the rest ni kuzuga tu.
 
..Tz haishindwi kupata usd 250 million zinazotarajiwa kuwekezwa na Dp World bandarini.
Mkuu hiyo DP World ni kichaka tu, lakini hiyo DP World ni watanzania wenzetu wamechukua hiyo bandari. Ndio maana huoni viongozi wa Dubai popote pale, zaidi ya waarabu kadhaa waliopangwa kuja kutuzuga ndio hao waarabu wa Dubai.
 
Mbona unatumia lugha chafu namna hiyo.
Mama yako unaweza kumtukana hivyo?.
Huyo ni mzazi wako, na zaidi, ni kiongozi mkuu wa nchi.
Naomba ujitafakari sana.
Acha porojo, ajitafakari kivipi kwani wewe kiongozi wa nchi (ke) utaweza kumlinganisha kihadhi na mama yako mzazi aliyekuweka tumboni miezi 9?
 
Back
Top Bottom