Wakili Madeleka amesema yapo mambo ambayo yanashughulikiwana muungano wa falme za Kiarabu na yapo mambo yanashughulikiwa 'individual emirate'
Madeleka ametolea mfano wa Zanzibar isivyoweza kusain mktaba na Kenya, kuchukua mkopo japokuwa inae Rais. Madeleka amesema Zanzibar haina ubalozi popote duniani.
Madeleka amesema katiba ya umoja wa falme za kiarabu inasema mambo ya kimataifa yatashughulikiwa na muungano wa falme za kiarabu na Dubai haiwezi kuingia mkataba wa kimataifa.
Madeleka amesema Dubai imefanya utapeli kusema ina uwezo wa kuingia makubaliano ya kimataifa kwani Tanzania ni nchi na Dubai sio nchi.

Mbona unatumia lugha chafu namna hiyo.
Mama yako unaweza kumtukana hivyo?.
Huyo ni mzazi wako, na zaidi, ni kiongozi mkuu wa nchi.
Naomba ujitafakari sana.
Hivi Zanzibar ina faida gani kwenye huu Muungano? Kwanini tusiuvunje wajitegemee na huyu mama aondokee aende huko.
Huu Muungano unatuletea hasara sana hasa kwakuwa na viongozi wenye asili ya huko wasio na faida.