Katiba ataidai nani kama hakuna vyama. Au hujui cornerstone/ significance ya vyama. Mkiwa wengi mkapaza sauti madhulumati yataanguka, peke yako watakumalizaKatiba kwanza, vyama baadae.
Hao wengi unaowasema watakutana wapi kama hakuna haki ya kukusanyika?Katiba ataidai nani kama hakuna vyama. Au hujui cornerstone/ significance ya vyama. Mkiwa wengi mkapaza sauti madhulumati yataanguka, peke yako watakumaliza
Ndipo hapo nguvu ya umma inatumika, sharpaville massacre and the like mpaka mnatoboa. It is a hard way to go indeedHao wengi unaowasema watakutana wapi kama hakuna haki ya kukusanyika?
Sharpeville ilileta haki au ilileta umwagaji damu? Umesahau kuwa baada ya pale ANC ilipigwa marufuku na Mandela akafungwa?Ndipo hapo nguvu ya umma inatumika, sharpaville massacre and the like mpaka mnatoboa. It is a hard way to go indeed