Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
Wakili Madeleka amesema mamlaka aliyonayo Masauni kama Waziri wa Mambo ya Ndani ni mamlaka ya kisera kuhusu vyombo ambavyo vipo chini ya wizara ile lakini hana mamlaka ya kiutendaji ya kila siku ya vyombo vile. Kama ni polisi kuna IGP mwenye majukumu yake na yuko trained kuyatekeleza majukumu hayo.
Madeleka ameongeza kuwa, Masauni kutoa kauli za kisiasa kwenye majukwaa ya kisiasa kuwaambia polisi na vyombo vingine kwenda kuwakamata watu wanaotoa maoni tofauti na serikali na wasiyoyapenda, Masauni anathibitisha kwamba hafahamu wajibu wanaoutumikia na inawezekana alipewa tu kwa bahati mbaya.