Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
Huyu mama anasaini kila kitu kilichopo mbele yake bila kusoma.Madeleka akisoma sehemu ya kipande cha mkataba uliosaniwa Rais Samia, ambapo kipande hicho kinasema Rais Samia ametoa mamlaka yake kwa Mbarawa kusaini mkataba kwa niaba ya Tanzania na Dudai wakati Samia sio Rais wa Dubai, na kwamba Rais Samia kasahau kwamba mamlaka yake ni kwenye mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pekee na sio Dubai.
Tuwekee hiyo sehemu ya huo mkataba eneo ulikotoa hii statement niende nikapate wine baridiMadeleka akisoma sehemu ya kipande cha mkataba uliosaniwa Rais Samia, ambapo kipande hicho kinasema Rais Samia ametoa mamlaka yake kwa Mbarawa kusaini mkataba kwa niaba ya Tanzania na Dudai wakati Samia sio Rais wa Dubai, na kwamba Rais Samia kasahau kwamba mamlaka yake ni kwenye mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pekee na sio Dubai.
Soma ueleweNdo umeandika nn sasa
Ndo umeandika nn sasa
Video inakuja mkuuTuwekee hiyo sehemu ya huo mkataba eneo ulikotoa hii statement niende nikapate wine baridi
Tatizo amezungukwa na mafisi kila upande.Huyu mama anasaini kila kitu kilichopo mbele yake bila kusoma.
Kuna siku atasaini kuuza mkoa wa Dodoma.
Mbona sielewi kitu AWA MAWAKILI WANATUONA WAJINGA SANAMadeleka akisoma sehemu ya kipande cha mkataba uliosaniwa Rais Samia, ambapo kipande hicho kinasema Rais Samia ametoa mamlaka yake kwa Mbarawa kusaini mkataba kwa niaba ya Tanzania na Dudai wakati Samia sio Rais wa Dubai, na kwamba Rais Samia kasahau kwamba mamlaka yake ni kwenye mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pekee na sio Dubai.
View attachment 2685670
Rais wetu anapigania maslahi ya Dubai. Wazalendo wanatishiwa kuuwawa Dr Slaa, Mwabubusi,Madeleka akisoma sehemu ya kipande cha mkataba uliosaniwa Rais Samia, ambapo kipande hicho kinasema Rais Samia ametoa mamlaka yake kwa Mbarawa kusaini mkataba kwa niaba ya Tanzania na Dudai wakati Samia sio Rais wa Dubai, na kwamba Rais Samia kasahau kwamba mamlaka yake ni kwenye mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pekee na sio Dubai.
View attachment 2685670
Aliyelikisha huu mkataba ajiseme tumchangieHuyu mama anatutia aibu iliyounganishwa na hasara
Aliyelikisha huu mkataba ajiseme tumchangie
Na yeye ,atakuwa aliona huu upuuzi mungu akampa Nuru
Madeleka akisoma sehemu ya kipande cha mkataba uliosaniwa Rais Samia, ambapo kipande hicho kinasema Rais Samia ametoa mamlaka yake kwa Mbarawa kusaini mkataba kwa niaba ya Tanzania na Dudai wakati Samia sio Rais wa Dubai, na kwamba Rais Samia kasahau kwamba mamlaka yake ni kwenye mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pekee na sio Dubai.Ndo umeandika nn sasa
Tuwekee hiyo sehemu ya huo mkataba eneo ulikotoa hii statement niende nikapate wine baridi
Kwanini CCM na serikali wamejigeuza kuwa wasemaji wa DP World?[emoji23]Huu mkataba umekaa kimagumashi. Jamani kwanini hawa DP World wasije wenyewe wakajitetea badala yake wameiachia serekali ya Samia iwatetee?
Kwanini CCM na serikali wamejigeuza kuwa wasemaji wa DP World?
Ukweli kuhusu ccm ni andaziKwanini CCM na serikali wamejigeuza kuwa wasemaji wa DP World?[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app