Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wakili Peter Madeleka amesema amesema "Taifa limekwama kabisa katika namna ambayo haijawahi kutokea tangu tupate uhuru. Mkwamo ni kwamba... mkwamo unasababishwa na uongozi mbovu.
Kwa sababu ili taifa liweze kustawi, lipate maendeleo, linahitaji uongozi thabiti, uongozi madhubuti. Kuna nukuu moja ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, alisema ili nchi iweze kupata maendeleo inahitaji vigezo vinne; inahitaji watu, ardhi, siasa safi, na uongozi bora. Sasa matatizo yote ambayo tunayaona sasa hivi, chanzo chake ni uongozi mbovu, uongozi ambao sio bora."