Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Awamu ya hovyo kutokea tangu uhuru
How I wish tanzanians were like Catholic parishioners. Parishioners don’t care about the ethnicity of the priest. All they care about is for the priest to be available and to serve them well.Huyo kijana wa mfumo anatengeza kuaminika mpumbavu sana huyo Madeleka hawa na ACT si walisema watalinda kura nini kilitokea?
Usimwingie kichwa kichwa mkuu! Nafikiri unajua background yake! 🤣Huyu Jamaa ni mkweli mpaka raha, ila namuhofia usalama wake, ukweli kama huu usije kumgharimu
Wakitokea watu wa ukweli wa kihivi, mimi huwa namkumbuka Humphrey Polepole.
Hongera zake sana Wakili Madeleka.
P
Hivi wananchi kueleweka lazima wafuate unachotaka wewe!!? Watz ni waelewa sana linapokuja swala la usalama wa nchi yao hawapelekeshwi tu na baadhi ya Gen z wasiojitambua.Kuwa na tribe 120+ sio issue kubwa sana.
Kama hatuwezi kuungana kwa pamoja kwenye mambo ambayo hayaendi sawa basi jua umeelewa nilichokuwa namaanisha.
Ni kwamba tumegawanyika pakubwa na sio kwamba ni kwasababu ya makabila hapana, bali unafiki na ujinga wetu ndio sababu hatuwezi focus kwenye mambo ambayo yangefanya twende wote kama taifa.
Wale wafuasi wa utawala huu ukiwauliza wanafanya nini? wao wenyewe hawaelewi.Wale walio against, ukiwaulizi mikakati ni hipi au mnasubiri neema ya Mungu au msaada wa mataifa mengine hawajui nao.Sasa hapa sikuwekana njia panda kiongozi.Kiufupi wananchi wenyewe hatuelewiki na viongozi wetu nao bure kabisa
Nachotaka mimi? Mimi ni nani mpaka nilazimishe ideologies zangu kwa watu wengine?.Is your brain ok sir?Usalama unaelewa ni kitu gani? Au kwasababu hakuna vita ndio unasema mpo salama?Hivi wananchi kueleweka lazima wafuate unachotaka wewe!!? Watz ni waelewa sana linapokuja swala la usalama wa nchi yao hawapelekeshwi tu na baadhi ya Gen z wasiojitambua.
Chagua lugha moja unayoweza kujieleza vizuri ama Kiswahili au Kiingereza unatuchanganya tunashindwa kukuelewa wengine!Nachotaka mimi? Mimi ni nani mpaka nilazimishe ideologies zangu kwa watu wengine?.Is your brain ok sir?Usalama unaelewa ni kitu gani? Au kwasababu hakuna vita ndio unasema mpo salama?
Are you crazy right? Kila siku watu wanatekwa unalijua hili au hulijui au kwasababu wanaotekwa sio jamaa zako?
Not a politician and never care about politics,lakini unaona anachofanyiwa kiongozi mkuu wa chama cha upinzani Tundulissu ni sawa sio?.Kuna uhaini wa hivyo.Justice isn't served, then una claim kwamba mpo salama?uliona wapi? au kisa wanaofanyiwa sio wa familia yak😵k fine one day utajua nchi kuwa salama ni nini.
Sio kosa langu najua kihaya.Kiswahili sikijui najua English pia ambayo najua kwako ni mzigo.Hell with your madness.Sina mda wa kufanya ujinga hapaChagua lugha moja unayoweza kujieleza vizuri ama Kiswahili au Kiingereza unatuchanganya tunashindwa kukuelewa wengine!
Kama kiingereza unakijua andika kiingereza basi ili tukuelewe sio mara KiswahiliSio kosa langu najua kihaya.Kiswahili sikijui najua English pia ambayo najua kwako ni mzigo.Hell with your madness.Sina mda wa kufanya ujinga hapa
Ok just a polite reminder,kalye empali and learn to mind your stuffKama kiingereza unakijua andika kiingereza basi ili tukuelewe sio mara Kiswahili
Dawa yao chawa tandika perfect english huwa wanakimbia uziOk just a polite reminder,kalye empali and learn to mind your stuff