PostGE2025 Wakili Madeleka: Taifa limekwama kuliko wakati wowote tangu Uhuru kwa sababu ya Uongozi Mbovu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakili Peter Madeleka amesema amesema "Taifa limekwama kabisa katika namna ambayo haijawahi kutokea tangu tupate uhuru. Mkwamo ni kwamba... mkwamo unasababishwa na uongozi mbovu.

Kwa sababu ili taifa liweze kustawi, lipate maendeleo, linahitaji uongozi thabiti, uongozi madhubuti. Kuna nukuu moja ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, alisema ili nchi iweze kupata maendeleo inahitaji vigezo vinne; inahitaji watu, ardhi, siasa safi, na uongozi bora. Sasa matatizo yote ambayo tunayaona sasa hivi, chanzo chake ni uongozi mbovu, uongozi ambao sio bora."

Your browser is not able to display this video.
 
Kila mtu anakabia juu why? Ujinga hauwei kuvumiliwa, else wahusika wataleta civil war
Civil war kwa mentality za wabongo ni ngumu.Nimeona mengi katika haya maisha sema sijawahi kuona viumbe wa ajabu kama watanzania.

Tatizo ni kwamba hakuna kitu ambacho tuna aim, sisi ni wakwenda na upepo tu.Tunavamia kila kilichombele yetu kitu kinachofanya tukose focus.We lack unity,focus,identity and goals
 
Civil war doesnt start over night, ni series ya matukio yanayo discourage watu (hata kama ni jamii tulivu), yes kwa nature ya mtanzania unaona ametulia lakini tipping point will reach and jamii tulivu wont be tulivu anymore
 
Yaani hasi ya baadhi ya Viongozi inasababisha Chanya ya Chande kuwa nayo ni hasi,Kwa ujumla nchi yote na wasomi wengi, elimu Yao imefanywa ni kazi bure kisa ni Samuya, Makonda ,
 
Huyu Jamaa ni mkweli mpaka raha, ila namuhofia usalama wake, ukweli kama huu usije kumgharimu

Wakitokea watu wa ukweli wa kihivi, mimi huwa namkumbuka Humphrey Polepole.

Hongera zake sana Wakili Madeleka.

P
 
 

Attachments

  • Screenshot_20260520-120655~2.png
    373.5 KB · Views: 13
💯
 
sema wew Magereka wakili mlevi ndio umefeli na kukwama maisha kwa madeni ya kausha damu.

Tanzania inasonga mbele vizuri sana kijamii kisiasa na kiuchumi 🐒
 
Kuna tribes 120+

How can these all have one focus?
 
Kuna tribes 120+

How can these all have one focus?
Kuwa na tribe 120+ sio issue kubwa sana.

Kama hatuwezi kuungana kwa pamoja kwenye mambo ambayo hayaendi sawa basi jua umeelewa nilichokuwa namaanisha.

Ni kwamba tumegawanyika pakubwa na sio kwamba ni kwasababu ya makabila hapana, bali unafiki na ujinga wetu ndio sababu hatuwezi focus kwenye mambo ambayo yangefanya twende wote kama taifa.

Wale wafuasi wa utawala huu ukiwauliza wanafanya nini? wao wenyewe hawaelewi.Wale walio against, ukiwaulizi mikakati ni hipi au mnasubiri neema ya Mungu au msaada wa mataifa mengine hawajui nao.Sasa hapa sikuwekana njia panda kiongozi.Kiufupi wananchi wenyewe hatuelewiki na viongozi wetu nao bure kabisa
 
Wakati mkiendelea kuhubiri mkwamo wa nchi, wenzenu wako busy kuwekeza. Endeleeni tu
 
Ila nachojua viongozi ni reflection ya quality ya wananchi waliopo. Ukiona kila kiongozi ni kilaza pro max basi ujue hiyo jamii ina vilaza weng pro max.
 
Hivi unaweza ukaua watu wote ili kuwanyamazisha? naona kama ni ngumu! Binadamu kadri unavyomfanyia ushenzi anafikia wakati aogopi tena! Mwisho wa siku nahisi wanakuja wao kukuondoa wewe unae wa-attack
 
Huyu Jamaa ni mkweli mpaka raha, ila namuhofia usalama wake, ukweli kama huu usije kumgharimu

Wakitokea watu wa ukweli wa kihivi, mimi huwa namkumbuka Humphrey Polepole.

Hongera zake sana Wakili Madeleka.

P
Huyo kijana wa mfumo anatengeza kuaminika mpumbavu sana huyo Madeleka hawa na ACT si walisema watalinda kura nini kilitokea?
 
Huyu Jamaa ni mkweli mpaka raha, ila namuhofia usalama wake, ukweli kama huu usije kumgharimu

Wakitokea watu wa ukweli wa kihivi, mimi huwa namkumbuka Humphrey Polepole.

Hongera zake sana Wakili Madeleka.

P
Hao watu hawapendwi na hii, what happen to polepole? Ni suala la muda kwa madeleka pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…