Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini hajanyakwa?!Kuna jamaa anajiita Generali Mwamwega. Ila jina la kweli ni Egron Rweyemamu.
Hawawezi kushughulikia hilo jambo maana halitawasaidia kwenda viral, mara nyingi hao jamaa huwa wanacheza na upepo kwa mambo ambayo yatawaongezea umaarufu mtaani hasa mambo yanayolenga kuikosoa Serikali au kuichafua na sio watatuzi wa masuala nyeti ya kijamii kama hayo uliyoyaelezeaWakili Madeleka popote ulipo, tunaomba uwasaidie Hawa wananchi wanaotapeliwa kwa kupitia jina la Ikulu. Nadhani wewe na Ex Mayor Bonny ndio mmebakia wenye uchungu na raia.
Kuna mtu anatumia jina la Ikulu, Waziri Mkuu na hata Jeshi letu la JWTZ kuwatapeli wananchi. Na mpaka sasa hivi kuna watu wamefilisika kutokana na tapeli huyu. Mwezi wa April mwaka huu RCO wa Temeke alifungua Jalada, ila baadae akatokomea gizani. Taarifa hizi zilishafika Hadi bungeni ila hakuna hatua iliyochukuliwa. Ni hatari Sana kwa taifa Kwa mtu kutumia majina ya Viongozi na hasa sehemu nyeti Kama Ikulu kutapeli raia wasio na kosa lolote.
Tulipeleka taarifa JWTZ wakakaa kimya, Bunge wakampiga kimya, ofisi ya Waziri Mkuu wakampiga kimya, ofisi ya Rais Zanzibar kwakapiga kimya. Sasa ni Bora hili jambo lifike mahakamani ili ukweli wote uwekwe wazi.
Madeleka na Mh Boni Yai popote mlipo tunaomba muwasaidie Hawa wananchi. Ni Bora taifa lielewe kinachoendelea hata Kama serikali itakaa kimya raia waendelee kuonewa.
Yeyote mwenye mawasiliano ya Wakili Madeleka anaweza kunipatia.
Huyu ni Jenerali wa kweli kweli huko JWTZ, au ndio hivyo ni jina tu?Huyo Generali Mwamwega akifika mahakamani ndio mwisho wa huu utapeli. Na baada ya kuona anafuatiliwa kaenda Airtel kufuta namba yake ili asiwe traced.
Kwanini hajanyakwa?!
Hawawezi kushughulikia hilo jambo maana halitawasaidia kwenda viral, mara nyingi hao jamaa huwa wanacheza na upepo kwa mambo ambayo yatawaongezea umaarufu mtaani hasa mambo yanayolenga kuikosoa Serikali au kuichafua na sio watatuzi wa masuala nyeti ya kijamii kama hayo uliyoyaelezea
Labda anazitekeleza zile 4R wa vitendo.Mpaka Leo nashangaa. Jalada lake lilifungiliwa na RCO wa Mkoa wa kipolisi wa Temeke mwezi February ila mpaka Leo kimya, anzidi kutapeli watu. Nadhani anakula na wakubwa. Maana kwenye utapeli wake anatumia ofisi ya Kamishna wa Ardhi Dodoma, Ikulu Zanzibar, Waziri Mkuu, JWTZ maana anajiita Generali wa JWTZ baada ya kupandisha ngazi kutoka Luteni Generali.
Kama mtu anatumia jina la Jeshi na hakamatwi? Tena anajipa cheo Cha kulingana na CDF ila jeshi li.ekaa kimya, hapo Kuna kitu kimejificha.
Labda kapewa maagizo kutoka juuFikiria RCO kapewa ushahidi wote Toka February mwaka huu, ila kakaa kimya na Wala hajachukua hatua yeyote.
Ungeweka hiyo link tupate background ya malalamiko yako kama uwezi rudia kuandika upya utapeli wenyewe unaopelekea watu kufilisika.
Labda ni kweli anatumwa na Ikulu tutajuajeKuna mtu anatumia jina la Ikulu, Waziri Mkuu na hata Jeshi letu la JWTZ kuwatapeli wananchi. Na mpaka sasa hivi kuna watu wamefilisika kutokana na tapeli huyu. Mwezi wa April mwaka huu RCO wa Temeke alifungua Jalada, ila baadae akatokomea gizani. Taarifa hizi zilishafika Hadi bungeni ila hakuna hatua iliyochukuliwa. Ni hatari Sana kwa taifa Kwa mtu kutumia majina ya Viongozi na hasa sehemu nyeti Kama Ikulu kutapeli raia wasio na kosa lolote.
DOKEZO - IGP ingilia kati kuhusu huyu Tapeli wa Dodoma Egron Rweyemamu aka Jenerali Mwamwega
Habari, naomba nitoe taarifa kwa JWTZ ya kwamba Kuna mtu anajiita Generali Charles Mwamwega na kudanganya watu yeye ni makubwa jeshini na anafanya kazi kwenye ofisi ya Rais wa Zanzibar Ikulu. Ukienda pale ikulu Zanzibar hayupo mtu Kama huyo na ukienda kwenye data base ya JWTZ Hilo jina halipo...www.jamiiforums.com