Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh hii kaliYani Ikulu, JWTZ, Waziri Mkuu, Rais Mwinyi wote wapo kimya.
Kwa akili za namna hii lazima utatapeliwa tu. Madeleka na Bon Yai hawawezi kukusaidia kama una akili za namna hii bali watakula pesa zako tu.Wakili Madeleka popote ulipo, tunaomba uwasaidie Hawa wananchi wanaotapeliwa kwa kupitia jina la Ikulu. Nadhani wewe na Ex Mayor Bonny ndio mmebakia wenye uchungu na raia.
Kuna mtu anatumia jina la Ikulu, Waziri Mkuu na hata Jeshi letu la JWTZ kuwatapeli wananchi. Na mpaka sasa hivi kuna watu wamefilisika kutokana na tapeli huyu. Mwezi wa April mwaka huu RCO wa Temeke alifungua Jalada, ila baadae akatokomea gizani. Taarifa hizi zilishafika Hadi bungeni ila hakuna hatua iliyochukuliwa. Ni hatari Sana kwa taifa Kwa mtu kutumia majina ya Viongozi na hasa sehemu nyeti Kama Ikulu kutapeli raia wasio na kosa lolote.
Tulipeleka taarifa JWTZ wakakaa kimya, Bunge wakampiga kimya, ofisi ya Waziri Mkuu wakampiga kimya, ofisi ya Rais Zanzibar kwakapiga kimya. Sasa ni Bora hili jambo lifike mahakamani ili ukweli wote uwekwe wazi.
Madeleka na Mh Boni Yai popote mlipo tunaomba muwasaidie Hawa wananchi. Ni Bora taifa lielewe kinachoendelea hata Kama serikali itakaa kimya raia waendelee kuonewa.
Yeyote mwenye mawasiliano ya Wakili Madeleka anaweza kunipatia.
Kwa akili za namna hii lazima utatabeliwa tu. Madeleka na Bon Yai hawawezi kukusaidia kama una akili za namna hii bali watakula pesa zako tu.
Shithole!Stupid idiot. Umesoma mkasa ulipoanzia au unaleta ujuaji. Shida unajifanya kujua mambo wakati mpumbavu. Kasome Uzi wa Generali Mwamwega tangu kisa kilipoanzia mpaka Sasa. Very stupid idiot
Eti unanitumia sms ya kunitisha mimi!!! Mmmh. Haya nakusubiri na karibu porini.Stupid idiot. Umesoma mkasa ulipoanzia au unaleta ujuaji. Shida unajifanya kujua mambo wakati mpumbavu. Kasome Uzi wa Generali Mwamwega tangu kisa kilipoanzia mpaka Sasa. Very stupid idiot