carbohydates
JF-Expert Member
- Oct 13, 2026
- 260
- 607
ok.πWakili Maduhu William amesema amri ya Mahakama kuhusu upatikanaji wa mawasiliano na mteja wake, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, imetekelezwa kikamilifu baada ya kuruhusiwa kukutana naye katika Gereza la Ukonga, Dar es Salaam.
Katika taarifa yake iliyotolewa Oktoba 29, 2026, Wakili Maduhu amesema alitembelea gereza hilo kwa lengo la kujiridhisha kuhusu utekelezaji wa amri hiyo ya Mahakama na kuonana na mteja wake.
Amesema alifanya mazungumzo na Lissu kwa faragha kwa zaidi ya dakika 45, huku maafisa wa Magereza wakiwa nje ya eneo la mazungumzo bila kusikiliza mazungumzo yao, kama ilivyoamriwa na Mahakama.
============
Leo nimetembelea Gereza la Ukonga nikiwa na malengo makuu mawili.
1. Kujiridhisha kama amri ya Mahakama inatekelezwa au ni propaganda za Magereza tu.
2. Pili kuonana na Mteja wangu Mhe Tundu Lissu.
Kuhusu suala la Kwanza naomba kutoa taarifa kwamba amri ya Mahakama imetekelezwa kikamilifu kwani sijazuiwa kuonana na mteja wangu kama ilivyokuwa hapo awali, nimeonana naye na tumekuwa na mazungumzo kwa zaidi ya dakika 45.
Kuhusu suala la pili, kama nilivyosema hapo awali,, nimeonana na Mhe Lissu, tumekuwa na mazungumzo kwa faragha kama Mahakama ilivyoamua kwa zaidi ya dakika 45 huku maafisa wa Magereza wakiwa nje wanaona lakini hawakuwa wanasikiliza mazungunzo yetu.
Kuhusu suala la kusoma nyaraka nalo limetekelezwa kikamilifu.
Mhe Lissu yu mzima wa Afya na mwenye tabasamu kama ilivyo kawaida yake.
Imetolewa na:
Wakili Maduhu William
29. Oktoba 2026
Hawana njia ya kuzuia kisichozuilika.Serikali ilikua na hofu na 29 October.. walihofia kukutana na lisu kuna mipango ingefanyika. Tishio la leo limeisha so wapo comfortable. Wamekua makini sana wanajua upenyo wowote kwa lissu anaweza kuutumia kulianzisha tena.
Nani muoga? Ahahahahaha!!Waoga sana πππ
Je Vifaa vya kurekodi mnachoongea haikuwepoWakili Maduhu William amesema amri ya Mahakama kuhusu upatikanaji wa mawasiliano na mteja wake, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, imetekelezwa kikamilifu baada ya kuruhusiwa kukutana naye katika Gereza la Ukonga, Dar es Salaam.
Katika taarifa yake iliyotolewa Oktoba 29, 2026, Wakili Maduhu amesema alitembelea gereza hilo kwa lengo la kujiridhisha kuhusu utekelezaji wa amri hiyo ya Mahakama na kuonana na mteja wake.
Amesema alifanya mazungumzo na Lissu kwa faragha kwa zaidi ya dakika 45, huku maafisa wa Magereza wakiwa nje ya eneo la mazungumzo bila kusikiliza mazungumzo yao, kama ilivyoamriwa na Mahakama.
============
Leo nimetembelea Gereza la Ukonga nikiwa na malengo makuu mawili.
1. Kujiridhisha kama amri ya Mahakama inatekelezwa au ni propaganda za Magereza tu.
2. Pili kuonana na Mteja wangu Mhe Tundu Lissu.
Kuhusu suala la Kwanza naomba kutoa taarifa kwamba amri ya Mahakama imetekelezwa kikamilifu kwani sijazuiwa kuonana na mteja wangu kama ilivyokuwa hapo awali, nimeonana naye na tumekuwa na mazungumzo kwa zaidi ya dakika 45.
Kuhusu suala la pili, kama nilivyosema hapo awali,, nimeonana na Mhe Lissu, tumekuwa na mazungumzo kwa faragha kama Mahakama ilivyoamua kwa zaidi ya dakika 45 huku maafisa wa Magereza wakiwa nje wanaona lakini hawakuwa wanasikiliza mazungunzo yetu.
Kuhusu suala la kusoma nyaraka nalo limetekelezwa kikamilifu.
Mhe Lissu yu mzima wa Afya na mwenye tabasamu kama ilivyo kawaida yake.
Imetolewa na:
Wakili Maduhu William
29. Oktoba 2026
Pia Soma:
Mahakama imesema kuzuiwa kwa mawakili kuonana na Lissu Gereza la Ukonga kulimnyima mtuhumiwa nafasi ya kujitetea kikamilifu
Nilikwambiaje?ok.π
ibada ya kinafiki itasuswa right?πNilikwambiaje?
Nadhani Sasa umeelewa!Muwe na akiba ya maneno siku nyingine!ok.π
Niliwaambia sana humu wakashupaza shingo!Waliokuwa wanakebehi uamuzi wa Lissu Kigoma kula.
Yule Mwamba Lissu kila anachofanya amekipima barabara.
kwamba ibada ya kinafiki ilisuswa au?πNadhani Sasa umeelewa!Muwe na akiba ya maneno siku nyingine!
Kama kawaida Yako kukwepa suala la msingi!kwamba ibada ya kinafiki ilisuswa au?π
kwamba kususia kwako kula ni shari kwa mwingine au?πKama kawaida Yako kukwepa suala la msingi!
Mbona huhoji tena kuwa Lissu Hana mawakili na kwamba mtuhumiwa wa Uhaini anayesubiri hukumu haruhusiwi kuonana na wakili!
Ulisema serikali haiwezi kumjadili mtu aliyegoma kula mwenyewe,Kiko wapi?Wamejadili wakaona heri nusu shari Kuliko Shari kamili!
Chutama tu,umeumbuka!
Next time uwe na akiba ya maneno!
Hahahaaaaa,kazi ipo!Ila umeelewa!Usitamke niende kuquote uliyoandika hapa!Tukakupa darasa ila unakaza fuvu!kwamba kususia kwako kula ni shari kwa mwingine au?π
Wewe nilikwambia lisu sio saizi yako.ibada ya kinafiki itasuswa right?π