Wakili Maduhu :Amri ya Mahakama kuhusu madai ya Lissu yatekelezwa

Wakili Maduhu :Amri ya Mahakama kuhusu madai ya Lissu yatekelezwa

Wewe nilikwambia lisu sio saizi yako.
Simu zimepigwa huko.
Wewe hauwezi kutishika na uamuzi wa lisu sababu sio muhusika.
Gentleman,
siwezi kua saizi ya mtu mume mwenye mtu wake wa kiume gentleman, plz give a break 🐒
 
Serikali ilikua na hofu na 29 October.. walihofia kukutana na lisu kuna mipango ingefanyika. Tishio la leo limeisha so wapo comfortable. Wamekua makini sana wanajua upenyo wowote kwa lissu anaweza kuutumia kulianzisha tena.
Wana hofu ya kijinga, ndio maana hata sasa wanamshikilia kijinga. wamemtesa baba wa watu muda mrefu kijinga kabisa!
 
Back
Top Bottom