Wakili Mahuna: Sabaya hajafungwa kifungo cha nje, ila Kapewa muda wa uangalizi wa mwaka mmoja

Hawa mwaka Jana walifaulu 16 tu hivyo sishangai Wakili kuwa kiazi kiasi hiki.
Acha dharau mkuu...huyo Wakili hayo maneno yake amelenga wapiga kura wa chama cha mteja wake tena wale Bogus@ sio wale wenye uwezo mkubwa wa kufikiri.
 
Mawakili siki hizi wengi ni Makanjanja sana, wengine Wana file hadi Forged documents Mahakamani ili mradi tu ashinde kesi kiujanjanja welidi hawana kabisa!!
Hizo ni trick za kushinda mdogo wangu....
Kuna Wakili Mzoefu sana Tanzania hadi mchonga alikua anamkubali alisha Cite kifungu cha uwongo mahakamani...hiyo ni katika moja na mbili mdogo wangu, ila Wakili wa upande wa pili alishtuka!!
 
Chini ya uangaliz ni muhim san maan huez jua anaweza rudia ile mamb ya uvamiz!
 
washeria wetu hawa janjajanja sana sasa huyu imagine angekuwa mwanasheria wa serikali anawakilisha serikali makesi makubwa nje ya nchi si anatutia hasara ya mabilioni dakikd 0..

sasa serikali inawezekana vipi kutoa amri ya mtu aangaliwe mwaka mzima bila kupatwa na hatia na huku amekiri kosa? stupid....
 
Hizo ni trick za kushinda mdogo wangu....
Kuna Wakili Mzoefu sana Tanzania hadi mchonga alikua anamkubali alisha Cite kifungu cha uwongo mahakamani...hiyo ni katika moja na mbili mdogo wangu, ila Wakili wa upande wa pili alishtuka!!
Kwa kufanya hizo dirty trick zenu ili mshinde kesi inamaana Hakimu au Judge mnawaona Kama wao mamburula tu kua hawajui chochote kile,au mnakua mmewashirikisha before kwenye hizo dirty trick zenu!!??
 
Mwanasheria uchwara huyu. Ndiyo maana mwanzo mwisho kashindwa kumnasua mteja wake kwenye makucha ya sheria. Anaongea upupu huyu mwanasheria.

Kuachiwa huru hakunaga masharti.
Uenda akawa sawa, kwani hujui kama hii kes haikuwah kuanza kusikilizwa tangia ilipatajwa mwaka jana mwezi June? Unakumbuka Sabaya alikufungwa miaka 30 akaenda kata rufaa akashinda? Hiyo kazi alifanya huyohuyo Wakili Mahuna.
 
Hizo ni trick za kushinda mdogo wangu....
Kuna Wakili Mzoefu sana Tanzania hadi mchonga alikua anamkubali alisha Cite kifungu cha uwongo mahakamani...hiyo ni katika moja na mbili mdogo wangu, ila Wakili wa upande wa pili alishtuka!!
Na Mahakama nayo ikamuachia bila kumuadabisha!!! "Ku Cite kifungu cha uwongo Mahakamani is not acceptable! Lying under Oath is detestable by any standard,,,"
 
Kuna wanasheria uchwara kama walivyo wataalam uchwara kwenye fani nyingine.
 
kwa hiyo kila mhalifu akikiri kosa anapaswa kuachiwa kwa style hii iliyotumika kwa Sabaya?
 
Au huyo mwanasheria hajitambui au mleta mada amedanganya na wala hakuelewa kilichonenwa na wakili.

Sabaya alikiri kosa la uhujumu uchumi.

Halafu eti hajawahi kuwa na rekodi ya uhalifu.

Kwa hiyo hilo kosa la uhujumu uchumi alilokiri siyo uhalifu?

Kama huna uwezo wa kuelewa, usikimbilie kuja JF kuleta upotoshaji.
 
Hawa mwaka Jana walifaulu 16 tu hivyo sishangai Wakili kuwa kiazi kiasi hiki.
Kuna wakati nilikuwa na kesi ya madai. Mdauwa wangu alikuwa na mawakili watatu. Mimi nilismama mwenyewe, na siyo mwanasheria. Lakini mwishowe nilishinda na kulipwa 300m yangu. Kuna wengine ni mawakili jina, unaweza kuwashinda hata usiye somea sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…