Wakili Manyama: Mamlaka makubwa ya Rais ndiyo yameleta maendeleo na Amani Tanzania

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Wakili, mwanasheria wa kujitegemea na mchambuzi wa masuala ya kisiasa, Leonard Manyama, amesema kuwa mamlaka makubwa aliyonayo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yamechangia kuleta maendeleo na kudumisha amani nchini.

Manyama ametoa kauli hiyo wakati akizungumza katika kipindi cha Medani Kuu kinachorushwa na Stars TV.

"Ukitaka uone uzuri wa katiba hii angalia misingi ya amani na utulivu wa taifa letu tuliyoayo moja ya kigezo ambacho pia ni kipimo cha kuonyesha kwamba tuna sheria nzuri, tuna katiba nzuri na tuna utawala unaozingatia haki za binadamu na kanuni zote za utawala bora ni pamoja na utulivu na amani ndani ya nchi".

brilliant advocate.

wakili Manyama yuko sahihi 100%💪
 
Inawezekana sina bahati na jina Manyama. Wengi wa Manyama niliopata kuwafahamu huwa ni kenge fulani hivi. Nikipata muda nitakwenda Majita kulifanyia utafiti kidogo hili jina!
 
Wakili, mwanasheria wa kujitegemea na mchambuzi wa masuala ya kisiasa, Leonard Manyama, amesema kuwa mamlaka makubwa aliyonayo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yamechangia kuleta maendeleo na kudumisha amani nchini.

Manyama ametoa kauli hiyo wakati akizungumza katika kipindi cha Medani Kuu kinachorushwa na Stars TV.

"Ukitaka uone uzuri wa katiba hii angalia misingi ya amani na utulivu wa taifa letu tuliyoayo moja ya kigezo ambacho pia ni kipimo cha kuonyesha kwamba tuna sheria nzuri, tuna katiba nzuri na tuna utawala unaozingatia haki za binadamu na kanuni zote za utawala bora ni pamoja na utulivu na amani ndani ya nchi".

Taifa letu bado changa lililopata uhuru mwaka 1961... Hebu angetueleza taifa linakuwa likifikisha miaka mingapi. Hao ndio wasomi wetu, Tena washeria
 
Wakili, mwanasheria wa kujitegemea na mchambuzi wa masuala ya kisiasa, Leonard Manyama, amesema kuwa mamlaka makubwa aliyonayo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yamechangia kuleta maendeleo na kudumisha amani nchini.

Manyama ametoa kauli hiyo wakati akizungumza katika kipindi cha Medani Kuu kinachorushwa na Stars TV.

"Ukitaka uone uzuri wa katiba hii angalia misingi ya amani na utulivu wa taifa letu tuliyoayo moja ya kigezo ambacho pia ni kipimo cha kuonyesha kwamba tuna sheria nzuri, tuna katiba nzuri na tuna utawala unaozingatia haki za binadamu na kanuni zote za utawala bora ni pamoja na utulivu na amani ndani ya nchi".

Form Four Division, four kaunga certificate, Diploma & Degree
Leo anajiita Wakili?
 
Wakili, mwanasheria wa kujitegemea na mchambuzi wa masuala ya kisiasa, Leonard Manyama, amesema kuwa mamlaka makubwa aliyonayo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yamechangia kuleta maendeleo na kudumisha amani nchini.

Manyama ametoa kauli hiyo wakati akizungumza katika kipindi cha Medani Kuu kinachorushwa na Stars TV.

"Ukitaka uone uzuri wa katiba hii angalia misingi ya amani na utulivu wa taifa letu tuliyoayo moja ya kigezo ambacho pia ni kipimo cha kuonyesha kwamba tuna sheria nzuri, tuna katiba nzuri na tuna utawala unaozingatia haki za binadamu na kanuni zote za utawala bora ni pamoja na utulivu na amani ndani ya nchi".

Siku hizi ukitaka kuficha Ujinga na Upumbavu jiite tu Wakili au Daktari
 
Wakili, mwanasheria wa kujitegemea na mchambuzi wa masuala ya kisiasa, Leonard Manyama, amesema kuwa mamlaka makubwa aliyonayo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yamechangia kuleta maendeleo na kudumisha amani nchini.

Manyama ametoa kauli hiyo wakati akizungumza katika kipindi cha Medani Kuu kinachorushwa na Stars TV.

"Ukitaka uone uzuri wa katiba hii angalia misingi ya amani na utulivu wa taifa letu tuliyoayo moja ya kigezo ambacho pia ni kipimo cha kuonyesha kwamba tuna sheria nzuri, tuna katiba nzuri na tuna utawala unaozingatia haki za binadamu na kanuni zote za utawala bora ni pamoja na utulivu na amani ndani ya nchi".

Kwanza jitambulishe ni wakili wa sirikali au wakili kama wakili,vinginevyo upo kundi mpya na wauaji wa Watanzania wa oct29.
 
Wakili, mwanasheria wa kujitegemea na mchambuzi wa masuala ya kisiasa, Leonard Manyama, amesema kuwa mamlaka makubwa aliyonayo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yamechangia kuleta maendeleo na kudumisha amani nchini.

Manyama ametoa kauli hiyo wakati akizungumza katika kipindi cha Medani Kuu kinachorushwa na Stars TV.

"Ukitaka uone uzuri wa katiba hii angalia misingi ya amani na utulivu wa taifa letu tuliyoayo moja ya kigezo ambacho pia ni kipimo cha kuonyesha kwamba tuna sheria nzuri, tuna katiba nzuri na tuna utawala unaozingatia haki za binadamu na kanuni zote za utawala bora ni pamoja na utulivu na amani ndani ya nchi".

Manyama
Screenshot_20260714-183814~2.png
 
Back
Top Bottom