TANZIA Wakili Maria Pengo afariki ghafla akihudhuria mkutano mkuu wa TLS, Dodoma

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
15,835
Reaction score
23,776
pENGO 2.jpg

Pengo.jpg

Wakili wa Kujitegemea Maria amefariki ghafla akiwa ukumbi wa mikutano huko Dodoma kwenye vikao vya mawakili.

Inasemekana ni shambulio la moyo, heart attack lililoshahihishwa na presha ya kushuka ndio imemkumba na sasa wanasheria wanahangaika na kusaidia wengine wanaoendeshwa na magari muda wote.
Mshtuko wa moyo (heart attack) hutokea wakati mtiririko wa damu kuelekea sehemu ya moyo unapokatizwa au kupungua sana, hivyo kusababisha tishu za misuli ya moyo kukosa oksijeni. Hii inaweza kusababisha uharibifu mkubwa au kifo cha misuli ya moyo ikiwa haitatibiwa haraka.
 
View attachment 3059190
WAkili wa Kujitegemea Maria amefariki ghafla akiwa ukumbi wa mikutano huko Dodoma kwenye vikao vya mawakili.

Inasemekana ni shambulio la moyo, heart attack ndio imemkumba na sasa wanasheria wanahangaika na kusaidia wengine wanao dhaniwa ni wagonjwa hasa wanywa pombe, wenye vitambi na wale wanaoendeshwa na magari muda wote.
Mshtuko wa moyo (heart attack) hutokea wakati mtiririko wa damu kuelekea sehemu ya moyo unapokatizwa au kupungua sana, hivyo kusababisha tishu za misuli ya moyo kukosa oksijeni. Hii inaweza kusababisha uharibifu mkubwa au kifo cha misuli ya moyo ikiwa haitatibiwa haraka. Sababu kuu za kupata mshtuko wa moyo na hatimaye kufa ni pamoja na:

  1. Atherosclerosis: Ugonjwa huu husababisha mishipa ya damu kuwa na mafuta na plaque, ambayo hupunguza au kuzuia mtiririko wa damu kwenda moyoni.​
  2. Shinikizo la damu la juu: Shinikizo la damu la muda mrefu linaweza kuharibu mishipa ya damu na moyo, hivyo kuongeza hatari ya mshtuko wa moyo.​
  3. Cholesterol ya juu: Viwango vya juu vya cholesterol mbaya (LDL) vinaweza kuchangia katika uundaji wa plaque kwenye mishipa ya damu.​
  4. Kuvuta sigara: Kuvuta sigara huongeza shinikizo la damu, huongeza cholesterol mbaya, na huongeza hatari ya atherosclerosis.​
  5. Diabetes: Watu wenye ugonjwa wa kisukari wako kwenye hatari kubwa ya kupata mshtuko wa moyo kutokana na athari za sukari nyingi kwenye mishipa ya damu.​
  6. Kunenepa kupita kiasi: Uzito kupita kiasi huongeza mzigo kwenye moyo na pia huhusishwa na hali nyingine kama vile shinikizo la damu la juu na diabetes.​
  7. Kutofanya mazoezi: Kutofanya mazoezi ya kutosha kunaweza kuchangia katika kunenepa kupita kiasi, shinikizo la damu la juu, na cholesterol mbaya.​
  8. Lishe mbaya: Kula vyakula vyenye mafuta mengi na cholesterol mbaya kunaweza kuongeza hatari ya atherosclerosis.​
  9. Mkazo wa akili (stress): Mkazo wa muda mrefu unaweza kuchangia katika matatizo ya moyo kwa kuongeza shinikizo la damu na kuhimiza tabia zisizo na afya kama kuvuta sigara na kula kupita kiasi.​
  10. Historia ya familia: Historia ya familia ya ugonjwa wa moyo inaweza kuongeza hatari yako ya kupata mshtuko wa moyo.​
Ni muhimu kuchukua hatua za kuzuia kama vile kula lishe bora, kufanya mazoezi mara kwa mara, kuepuka kuvuta sigara, na kudhibiti magonjwa sugu kama shinikizo la damu na diabetes ili kupunguza hatari ya mshtuko wa moyo.​
She was too young to die....anyway RIP
 
Kwenye kile chama chetu tunao msamiati wetu ambao hutokea Dodoma tu:

"kukolimbwa."

Lucas Mwashambwa, johnthebaptist, Etwege na wale wengine, au nasema uongo ndugu zangu?
 
View attachment 3059190
WAkili wa Kujitegemea Maria amefariki ghafla akiwa ukumbi wa mikutano huko Dodoma kwenye vikao vya mawakili.

Inasemekana ni shambulio la moyo, heart attack ndio imemkumba na sasa wanasheria wanahangaika na kusaidia wengine wanaoendeshwa na magari muda wote.
Mshtuko wa moyo (heart attack) hutokea wakati mtiririko wa damu kuelekea sehemu ya moyo unapokatizwa au kupungua sana, hivyo kusababisha tishu za misuli ya moyo kukosa oksijeni. Hii inaweza kusababisha uharibifu mkubwa au kifo cha misuli ya moyo ikiwa haitatibiwa haraka.
Pole masikini labda ni anxiety za chaguzi hizi masikini. Inaumiza sana.
 
Pumzika Maria.
Wewe ni wakili mzuri.
Umenisimimamia mahakama zote kuanzia ya mwanzo, wilaya mpaka mahakama kuu.
Siku 4 nyuma tulikuwa tunapiga mahesabu 2026 utengeneze upya kitambulisho cha taifa kwa maana cha sasa wamekosea jina lako kumbe tunaagana.
Pole pia Khalid Mzee.
Jaji Mfawidhi nitaomba update niweze kumuaga Maria hapa jijini DSM.
 
Back
Top Bottom